Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

Ukikuta hazijatimia utafanyaje? Huwa hatufanyi tu vitu, ila baada ya kufanya tunawaza nini matokeo ya kufanya hivyo vitu?
 
Hakuna haja askari hata kusaidia nina uhakika sana sana atakuomba dasi
wana njaa kali sana hawa. wao kila mtu wakimuona anakuja ATM akili inawatuma kuwa huyu ni boss
 
Back
Top Bottom