mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Most of time wanatumia Modulator, zinaconvert signal kwenda analog waya wa Coaxial, vya kawaida vyenye input 1 ama 2 bei zake ni za kawaida tu ila jinsi unavyokua na input nyingi ndio jinsi bei inakua ndefu, inafika laki 4 na zaidi kwa input nyingi.
Kifaa kinakua kama hivi
View attachment 2748467
Kariakoo utapata, hasa. Maeneo ya uhuru na msimbazi, mahotel, cable tv na majumba makubwa mengi wanatumia ni kitu chenye demand huku kwetu.
Ya bei rahisi splitter,Ukiacha hii technology gani ingine inaweza kutumika kuwezesha hili?
Hakuna technology ya kutumiwa na nchi nzima?Ya bei rahisi splitter,
View attachment 2748514
Splitter inaweza kuwa ya Hdmi ama hizo RCA sema Hio badala ya kutumia remote kubadili Chanel unatumia hicho kidude kubadili kifaa gani kionekane kwenye tv.
Kwa wanaojiweza Receiver/Home thatre/ Amplifier zinakuja na option ya ku combine vifaa vyako Vyote waya mmoja tu utaenda kwenye tv, weakness ya njia hii utatumia remote ya receiver kubadili chanell.
View attachment 2748518
Pia kama njia ya juu inayotumia analog waweza tumia digital pia, Sema digital siku zote converter ni Gharama. Huku Tanga ama Dar pia kuna watu wanarusha Mawimbi Digital wanatumia Terestrial hizi DVB T kama Azam. Ila vifaa vitakua bei sana.
Nchi nzima utumie satelite ama internet.Hakuna technology ya kutumiwa na nchi nzima?
Kuna kitu naona Kama kinawezekana mfano Kama kwenye mtaa tunaweza jiunga watu hata 30 then tukanunua dish moja la dstv then tukajisambazia kwa waya kwenye nyumba zetuNchi nzima utumie satelite ama internet.
Sheria haziruhusu, ila watu wanafanya siku nyingi, cable tv.Kuna kitu naona Kama kinawezekana mfano Kama kwenye mtaa tunaweza jiunga watu hata 30 then tukanunua dish moja la dstv then tukajisambazia kwa waya kwenye nyumba zetu
Hayo mambo labda ufanye ndani ya nyumba moja tu, ukianza kusambazia majirani waweza kukamtwa na kufungwa jela,Kuna kitu naona Kama kinawezekana mfano Kama kwenye mtaa tunaweza jiunga watu hata 30 then tukanunua dish moja la dstv then tukajisambazia kwa waya kwenye nyumba zetu
Duh mbona hatari hio ila kama itaruhusiwa kwa nyumba moja kwa wale wa nyumba za kupanga haoa ndo pakupigia bingwaHayo mambo labda ufanye ndani ya nyumba moja tu, ukianza kusambazia majirani waweza kukamtwa na kufungwa jela,
Mkuu unaweza tupo garama ya kununua hivyo vifaa ili nijue namna ya kudili na Hawa jamaa wa visimbuzi maana Kuna sehemu tupo kotazi Kama garama itakuwa imepoa tununue vifaa tu tuunge na dish la DSTVSheria haziruhusu, ila watu wanafanya siku nyingi, cable tv.
Juu tayari tumeshazungumzia mkuu, Ki proffesional itakucost kama 1M kuconvert ving'amuzi vingi kwenda analog, kila King'amuzi kinatoa chanell moja ama mbili. Ila kama ni King'amuzi kimoja haifiki hata 50,000 ama kama ni chini ya vitano pia bei inakua around 300,000Mkuu unaweza tupo garama ya kununua hivyo vifaa ili nijue namna ya kudili na Hawa jamaa wa visimbuzi maana Kuna sehemu tupo kotazi Kama garama itakuwa imepoa tununue vifaa tu tuunge na dish la DSTV
Mkuu please mimi bado sijaelewa vizuri,naomba nisaidie:Juu tayari tumeshazungumzia mkuu, Ki proffesional itakucost kama 1M kuconvert ving'amuzi vingi kwenda analog, kila King'amuzi kinatoa chanell moja ama mbili. Ila kama ni King'amuzi kimoja haifiki hata 50,000 ama kama ni chini ya vitano pia bei inakua around 300,000
Moja na mbili zote ni sahihi, mfano una Startimes, Azam, Dstv unacombine vyote vitatu na kupata chanell tatu ambazo unabadilishia kwenye tv. Kuna ving'amuzi kama vya dstv vina output mbili kama wanavyotumia mabanda ya mpira kuonyesha mechi 2 ina maana kwa case hii utapata Chanel 4 badala ya 3.Mkuu please mimi bado sijaelewa vizuri,naomba nisaidie:
1.Je,ni kwamba ninaweza kucombine ving'amuzi vingi kisha nikatumia TV screen moja kuangalia channel yoyote ninayoitaka kutoka mojawapo ya king'amuzi?
2.Je,ni kwamba ninaweza kucombine ving'amuzi vingi kisha nikaweka TV screen kwenye vyumba tofauti tofauti na kila chumba wakaangalia channel yoyote wanayoita kutoka mojawapo ya king'amuzi?
Kama muelekeo ni mmoja unaweza ku share Dish, ila kama muelekeo tofauti inabidi kila kimoja kiwe na Dish lake.3.Je,kila king'amuzi kitakuwa na dish lake?
Analog most of time inakoma 480p-540p mkuu, sababu output ya zile decoder hivi vifaa inachukua kwa RCA ila naamini kama una kifaa cha kisasa ambacho kitapokea HDMI na una Coaxial zile nene 720P it's possible ile 1080p na 4k ngumu. Issue ni kwamba analog lazima iwe na Chenga chenga hata kama ni HD.4.Je,kwenye hizo TV screen, nitaweza kupata matangazo katika HD?
Huwezi, na ndio busara ya juu ya kuwa na ving'amuzi vingi, at best utapata chanell 2 kila kingamuzi, wale jamaa wa Cable wanakuwa na ving'amuzi 10 ama zaidi ndio maana unapata chanell kibao za kuchagua.5.Je,ninaweza kutumia kin'gamuzi kimoja kisha kila chumba kikawa na TV screen yake na kila mmoja kuchagua channel anayoitaka?
Shukran mkuuMoja na mbili zote ni sahihi, mfano una Startimes, Azam, Dstv unacombine vyote vitatu na kupata chanell tatu ambazo unabadilishia kwenye tv. Kuna ving'amuzi kama vya dstv vina output mbili kama wanavyotumia mabanda ya mpira kuonyesha mechi 2 ina maana kwa case hii utapata Chanel 4 badala ya 3.
Na sababu ni analog na Coaxial zina uwezo wa kusafirisha data umbali mrefu unaweza Unga tv za kijiji kizima.
Kama muelekeo ni mmoja unaweza ku share Dish, ila kama muelekeo tofauti inabidi kila kimoja kiwe na Dish lake.
Analog most of time inakoma 480p-540p mkuu, sababu output ya zile decoder hivi vifaa inachukua kwa RCA ila naamini kama una kifaa cha kisasa ambacho kitapokea HDMI na una Coaxial zile nene 720P it's possible ile 1080p na 4k ngumu. Issue ni kwamba analog lazima iwe na Chenga chenga hata kama ni HD.
Huwezi, na ndio busara ya juu ya kuwa na ving'amuzi vingi, at best utapata chanell 2 kila kingamuzi, wale jamaa wa Cable wanakuwa na ving'amuzi 10 ama zaidi ndio maana unapata chanell kibao za kuchagua.
Mkuu hujawai angusha mtu kwa mchango wako mungu akubariki sanaJuu tayari tumeshazungumzia mkuu, Ki proffesional itakucost kama 1M kuconvert ving'amuzi vingi kwenda analog, kila King'amuzi kinatoa chanell moja ama mbili. Ila kama ni King'amuzi kimoja haifiki hata 50,000 ama kama ni chini ya vitano pia bei inakua around 300,000
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu naona Kama kinawezekana mfano Kama kwenye mtaa tunaweza jiunga watu hata 30 then tukanunua dish moja la dstv then tukajisambazia kwa waya kwenye nyumba zetu