Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana Wanaruka ruka then wakaishia juu ya mti ambapo mimi nipo wametulia aisee! Sasa nauliza kuna ishara yoyote ile au hii inamaanisha nini? Wajuzi wa mambo karibuni.