The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sasa mbona viongozi wa CCM wanapiga biti wafanyabiasha?Ni nguvu ya soko!
Kwani kipindi cha huyo unaye msema vitu havi kupanda bei?Mwenye nguvu na sauti ya kukemea alikwisha fariki,wengine ni waoga balaa
Havikupanda kihorela kama huyu bi kidudeKwani kipindi cha huyo unaye msema vitu havi kupanda bei?
Mfumuko mkali ulianzia kwa MagufuiMwenye nguvu na sauti ya kukemea na maagizo yake kutekelezwat ,alikwisha fariki,wengine ni waoga balaa
RIP JPM
Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake viongozi wa afrika ni janga
Petrol tulinunua 1800Kwani kipindi cha huyo unaye msema vitu havi kupanda bei?
Sio kweli, nenda NBS upate data kamiliMfumuko mkali ulianzia kwa Magufui
Ongezeko la maghorofa mijini sio maendeleoSio wote mkuu,lizards wengine wamejaribu mno kuyafanya hayo,maendeleo kwa raia na utawala bora,Mauritius,ushelisheli,Botswana,na sasa Ghana na Senegal!yes Africa we can na hii generations ya walalamishi wa social media watakapokuwa wameondoka ,next generation hasa vijana they will take Africa forward.
Acha ushambaMfumuko mkali ulianzia kwa Magufui