Hivi kuna kipimo kinachoweza kuonyesha kama mtu alivuta bangi au alitumia madawa ya kulevya?

Hivi kuna kipimo kinachoweza kuonyesha kama mtu alivuta bangi au alitumia madawa ya kulevya?

Kipo ni city scan, tulimpeleka mtu mzima pale muhimbili alipata strock, baada ya majibu Dr alisema huyu amewahi kuvuta sigara, na katika maisha yetu hatujawahi kumuona akivuta, tulipouliza wakubwa walikubali, kuwa mara ya mwisho kuvuta sigara ilikuwa mwaka 1964
CT scan inapima kama kuna tatizo kwenye ubongo na kamwe hakipimi mtu alivuta sigara lini, kufahamu mtu alivuta sigara lini unafahamu from patient history, Ila kwa huyo mgonjwa cigarette smoking ilikua risk factor ya kupata Stroke
 
Back
Top Bottom