Hivi Kuna kitomoto chafu?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Mabango yote ya huduma ya kitomoto utakuta yameandikwa KITOMOTO SAFI.

Sasa Huwa najiuiliza, Kuna kitomoto chafu?
 
Waungwana tunamwita mdudu. Kitimoto Safi inamaanisha ukionja mara moja no way out
 
Mabango yote ya huduma ya kitomoto utakuta yameandikwa KITOMOTO SAFI.

Sasa Huwa najiuiliza, Kuna kitomoto chafu?
Mkuu sio kitomoto ni kitimoto!
 
We uliona wapi kitimoto akawa msafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…