Hivi kuna kocha bora amewahi kutokea Ulaya kama Jose Mourinho?

Na kule barcelona vp? Mbna pep kachykua mataji kibao na wachezaj wasio ghari?
ndomana wamemtimua mourinho,kanunua pogba,lukaku,fred bdo akawa anataka kununua wakati ferguson hakuwa na matumizi hayo,matumizi hayo zinafanya timu zinazonunua hadhi man city na chelsea
 
Nadhani kwa makocha waliopo sasa Zidsne ndie bora kwa mafanikio
 
Sir ni Ferguson na Sir Bobby Charlton tu uyo muhuni labda awe saa
 
Wale ni wacheza wa la masia, kwan man utd hakuna?[emoji3]
Pep ni kocha bora kuliko maurinho, maurinho alikwa madrid yenye wachezaji wakubwa na wa thamani kuhwa lakin hakumfikia pep kwa mafanikio[emoji3]
namaanisha thamani yao,ni aina gani ya wachezaji
 
Mournho ananunua mataji, kocha bora ni sir alex Ferguson na wenger, wanakuza watoto baadae wanageuka mastaa wa kidunia
Watu tunataka mataji kipaji kajifunze kwenye vikosi vya kukuzia vipaji kama Lamasia, bahati mbaya siku hizi hata Barca wananunua wachezaji ambao washajua kucheza mipira kama Suarez na Coutinho.
 
Huyu ananunua mataji,pale city first eleven yote wapya kasoro sterling na fenandinho..angalia katumia kiasi gani cha pesa ukilinganisha na wenzake
Kabisa Mkuu, alipotua tu awali aliikuta City ikitoka kushiriki UEFA QUARTER FINALS lkn alisajili wachezaji 11.

Alipomaliza epl akiwa nafasi ya 3 alisajili tena wachezaji 9, alipochukua taji la epl akasajili tena wachezaji 11, so hana ubora wowote zaidi ya kubebwa na matajiri wa City
 
ndomana wamemtimua mourinho,kanunua pogba,lukaku,fred bdo akawa anataka kununua wakati ferguson hakuwa na matumizi hayo,matumizi hayo zinafanya timu zinazonunua hadhi man city na chelsea
Mourinho alitimuliwa 7bu alizinguana na Martial na Pogba hatimaye wakaanza kumfanyia mgomo kimya kimya hadi matokeo kuwa mabaya na kutimuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…