interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mourinho anawazidi rekodi ya kuchukua ktk nchi 3 tofauti na kubeba vikombe vya ligi kuu za nchi mbali mbali nyingi duniani kuliko hao wote uliowataja.Carlo Ancelotti, Zidane and Paisley ndio makocha wenye UEFA Champions tatu .. Mourinho kachukua mbili tu
Tena acha kabisa kuufananisha huo uchwaro wako na Special One, nimeshakula pesa nyingi sana kwa wajinga wasiojua ubora wa Mourinho kwa kulinganishwa na hilo libaguzi lako la rangi.Wale ni wacheza wa la masia, kwan man utd hakuna?[emoji3]
Pep ni kocha bora kuliko maurinho, maurinho alikwa madrid yenye wachezaji wakubwa na wa thamani kuhwa lakin hakumfikia pep kwa mafanikio[emoji3]
Hii ni personal attack
Afu kumbuka huyo Jamaa hata ktk maswala ya siasa nchini kwao alishawahi kujihusisha na kusapoti Catalunior wajitenge hadi FA ya UK ilimpigaga faini kwa kuvunja sheria za soka.Hii ni personal attack
Una shida ya kufikiri mahala, mfano uliotoa na swali uliloulizwa haviendani kabisa. Hakuna mantiki.wewe mgonjwa akili,ni sawa na kumwambia mtoto
Wa masikini kwani kakatazwa kusoma shule za feza bdala za kayumba ili afaulu
Huu ni utaahira kutaka Morinyo awe kama Alex, ni sawa na kutaka Trump afanye kama Obama, huo utakua utaahira. Kila mtu yuko yeye na ana mbinu zake.ndomana wamemtimua mourinho,kanunua pogba,lukaku,fred bdo akawa anataka kununua wakati ferguson hakuwa na matumizi hayo,matumizi hayo zinafanya timu zinazonunua hadhi man city na chelsea
Kwani makocha wengine wanakatazwa kununua wachezaji?Kabisa Mkuu, alipotua tu awali aliikuta City ikitoka kushiriki UEFA QUARTER FINALS lkn alisajili wachezaji 11.
Alipomaliza epl akiwa nafasi ya 3 alisajili tena wachezaji 9, alipochukua taji la epl akasajili tena wachezaji 11, so hana ubora wowote zaidi ya kubebwa na matajiri wa City
Baada ya kumtimua, matokea yamekua mazuri sasa?Mourinho alitimuliwa 7bu alizinguana na Martial na Pogba hatimaye wakaanza kumfanyia mgomo kimya kimya hadi matokeo kuwa mabaya na kutimuliwa.
Jose ni specialist wa mpira wa Ulaya.Mourinho anawazidi rekodi ya kuchukua ktk nchi 3 tofauti na kubeba vikombe vya ligi kuu za nchi mbali mbali nyingi duniani kuliko hao wote uliowataja.
Ukiulizia ktk miaka 15 iliyopita Kocha yupi aliyepata mafanikio tele ktk nchi tofauti zaidi ya 1 ni Jose Mourinho ndiye atayekuwa anaongoza.
Baada ya kumtimua, matokea yamekua mazuri sasa?
Jose ni specialist wa mpira wa Ulaya.
Alianza Porto, haikua na kombe, akaipa makombe. Akaja Chelsee, haikua inajulikana akaipa mataji.
Akaenda Inter, AC Milan ilishaitoa Inter barabarani, Josee akairudisha road na mataji juu.
Baada ya Madrid kukosa vikombe kwa misimu kadhaa wakamuomba mtaalam awasaidie, baada ya Josee kufika pale akawa anajitwisha tu makombe.
Chelsee wakamtaka tena, akarudi na akawasaidia pale alipoweza wakamtimua.
Man wakamuomba awasaidie angalau kucheza champions leage baada ya kuikosa kwa misimu kadhaa, kweli alipofika pale Manchester wakacheza champions leage.
Binafsi hata mimi ukiniuliza kocha anaeujua mpira wa ulaya siwezi kuacha kumtaja huyu jamaa.
Alibebwa tu,ni mzuri lakini hawezi kuwa wa kwanzaMbona taarifa ilitolewa juu ya makocha bora wa muda wote, wa kwanza ni Sir Alex Ferguson
Na mourinho ndiye pekee kachukua na clubs mbili tofautiCarlo Ancelotti, Zidane and Paisley ndio makocha wenye UEFA Champions tatu .. Mourinho kachukua mbili tu
Madrid walimnunua Mourinho ili kuvunja utawala wa Baka, pamoja na kwamba hakuchukua UEFA lakini aliondoka baka ikiwa underdog kwa Madrid.Wale ni wacheza wa la masia, kwan man utd hakuna?[emoji3]
Pep ni kocha bora kuliko maurinho, maurinho alikwa madrid yenye wachezaji wakubwa na wa thamani kuhwa lakin hakumfikia pep kwa mafanikio[emoji3]
Tena huyu Pep aliiua Bayern kabisa ndio inafufuka kwa sasaPep aliikuta Barca ikiwa ktk ubora kuliko hata Barca ya ss hv ikiwa chini ya Kocha Rijkard
Hivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?
Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu anatokea kwenye kanchi kadogo ka Ureno ndio maana anakua underated hasa ukizingatia media za Uingereza ndizo zinatamba Duniani ila hakika huyi jamaa angekua muingereza sasa angekua anaitwa majina makubwa sana.
Kwangu mimi na kwa facts Mourinho ndie kocha bora zaid8 kuwahi kutokea Ulaya.
Club imetumia 1bn kujijenga, wakati Man U wametoa 1bn kwa wamiliki wa clubHuyu ananunua mataji,pale city first eleven yote wapya kasoro sterling na fenandinho..angalia katumia kiasi gani cha pesa ukilinganisha na wenzake
Hivi kuna kocha mwenye mafanikio na mtaalam wa mpira wa ulaya kama Morinyo?
Binafsi ningetamani kuona huyu jamaa anaitwa Sir Jose Mourinho. Maana sioni nimlinganishe na kocha yupi, ni basi tu anatokea kwenye kanchi kadogo ka Ureno ndio maana anakua underated hasa ukizingatia media za Uingereza ndizo zinatamba Duniani ila hakika huyi jamaa angekua muingereza sasa angekua anaitwa majina makubwa sana.
Kwangu mimi na kwa facts Mourinho ndie kocha bora zaid8 kuwahi kutokea Ulaya.