interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mourinho anawazidi rekodi ya kuchukua ktk nchi 3 tofauti na kubeba vikombe vya ligi kuu za nchi mbali mbali nyingi duniani kuliko hao wote uliowataja.Carlo Ancelotti, Zidane and Paisley ndio makocha wenye UEFA Champions tatu .. Mourinho kachukua mbili tu
Ukiulizia ktk miaka 15 iliyopita Kocha yupi aliyepata mafanikio tele ktk nchi tofauti zaidi ya 1 ni Jose Mourinho ndiye atayekuwa anaongoza.