Ndio mana hatuelewani,Mimi najadili Mada iliyopo mezani iliyoletwa na mwenye Uzi,wewe unajadili kocha mwenye mafanikio kwa miaka 15 ilopita. Basi kaa na Jose Mourinho wako lakini uwe unaelewa nyuzi za watu kwanza ili usichanganye madalanse na matikiti kama ulivyofanyaUna matatizo wewe, mi nimesema Kocha mwenye mafanikio kwa miaka 15 ya nyuma na aliye ktk ubora ni Jose Mourinho, uwe unaelewa kwanza ndipo ubishane nami siyo kukurupuka pasipokujua nini chanzo cha mjadala.
Ndio mana hatuelewani,Mimi najadili Mada iliyopo mezani iliyoletwa na mwenye Uzi,wewe unajadili kocha mwenye mafanikio kwa miaka 15 ilopita. Basi kaa na Jose Mourinho wako lakini uwe unaelewa nyuzi za watu kwanza ili usichanganye madalanse na matikiti kama ulivyofanya
Mimi sina chuki na Jose,na wala sikuwa najadili ktk dimension ya nani ana mafanikio kati ya Jose Na pep,hii ni Mada iliyokuja njiani tu. Mimi nilikuwa najadili ishu ya kocha bora wa siku zote hadi sasa.Na ataendelea kuwa Kocha bora hata kama una stress za MUFC, wekeni mzigo wa uhakika mtengue kikosi chote la sivyo mtabaki kuwa kama sisi wazee wa kuunga unga tu "Chelsea"[emoji16]
Mimi sina chuki na Jose,na wala sikuwa najadili ktk dimension ya nani ana mafanikio kati ya Jose Na pep,hii ni Mada iliyokuja njiani tu. Mimi nilikuwa najadili ishu ya kocha bora wa siku zote hadi sasa.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha havha ha ha ha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo siku zote ulikuwa bado hujazaliwa so jitahidi uwe muwazi ili nikusaidie vizuri zaidi kujua mengi ktk ulimwengu wa soka Chifu.
Kiukweli mimi soka nilianza kuangalia 1998 tena ni kombe la dunia nikiwa na chama langu la akina Francisco Zola lkn nguvu kazi zaidi niliziweka 2004 baada ya Mourinho kuja Starmford Bridge.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha havha ha ha ha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The best one can't be weak in terms of celebrating racism like he did to Samuel Eto'o and Kolo Toure, so to me Pep Gadiola is poorest Coach I ever seen in my all life period of time.
Kiukweli mimi soka nilianza kuangalia 1998 tena ni kombe la dunia nikiwa na chama langu la akina Francisco Zola lkn nguvu kazi zaidi niliziweka 2004 baada ya Mourinho kuja Starmford Bridge.
So tuwe wakweli ili twende sawa Chifu
Mourinho anawazidi rekodi ya kuchukua ktk nchi 3 tofauti na kubeba vikombe vya ligi kuu za nchi mbali mbali nyingi duniani kuliko hao wote uliowataja.
Ukiulizia ktk miaka 15 iliyopita Kocha yupi aliyepata mafanikio tele ktk nchi tofauti zaidi ya 1 ni Jose Mourinho ndiye atayekuwa anaongoza.
ETC "End of thinking capacity"PUMBA
Chelsea FC, afu ulizaliwa mwaka gani wewe?Mkuu zole alikuwepo kwenye chama gani kwenye hiyo world cup 1998? mana hakuwemo kabisa kwenye yale mashindano
Ingia kwenye google u download kati ya Mourinho na Pep ni yupi mwenye CV kubwa za mafanikio ndipo ulete mahaba yako hapa yanayotaka kukuua kwa Pep 7bu nimeshakula pesa za mbumbumbu kama ninyi wengi sana 7bu ya mahaba yenu uchwaro hayo.Acha kuongea pumba msela, Gardiola amebeba la liga 3, Ujerumani mara 3, PL anakunja ya pili karibuni. Amebaba Spanish cup, German Cup 3,Leag cup 2 na FA Cup anamalizia karibuni. Two champion leagua Barca. sasa unataka mafanikio gani mengine. Mafanikio aliyapata jose England Pep anamalizia kuyafunika. Na kubwa zaidi ni kua Pep bado yupo on fire na Jose ameshapoteza dira.
Ancelotti ana 3 champion league, Ameshinda mataji ya ligi ya nchi 4 tafauti, na pia cup za nchi 4 tafauti.
Sasa lete hizo rekodi zako za Morinho zinazowazidi hawa.
Chelsea FC, afu ulizaliwa mwaka gani wewe?
Hivi Chelsea ilicheza world cup?
Wewe ni kilaza sana kichwani, nimeongea kiujumla ni mwaka gani nilianza kuangalia mpira afu baada ya hapo nikashabikia klabu gani.
Ulizaliwa mwaka gani kwanza?
Jilo suala tukuulize weye Morinho fanboy