Acha kuongea pumba msela, Gardiola amebeba la liga 3, Ujerumani mara 3, PL anakunja ya pili karibuni. Amebaba Spanish cup, German Cup 3,Leag cup 2 na FA Cup anamalizia karibuni. Two champion leagua Barca. sasa unataka mafanikio gani mengine. Mafanikio aliyapata jose England Pep anamalizia kuyafunika. Na kubwa zaidi ni kua Pep bado yupo on fire na Jose ameshapoteza dira.
Ancelotti ana 3 champion league, Ameshinda mataji ya ligi ya nchi 4 tafauti, na pia cup za nchi 4 tafauti.
Sasa lete hizo rekodi zako za Morinho zinazowazidi hawa.