Hivi kuna maana gani kama chama kipo serikalini na bado tena chama kikatumia serikali mambo ya kichama

Hivi kuna maana gani kama chama kipo serikalini na bado tena chama kikatumia serikali mambo ya kichama

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Haya mambo mwisho kusikia yalikuwa kwa NAZI ujerumani .Ila kwa nchi kama yetu unashindwa kutofautisha serikali na chama.

Ukisikia matamshi ya raisi,waziri na chama chake ni wazi kuwa wanafanya kama chama sio serikali.
 
Back
Top Bottom