poa poa maana hapa nimeshapigika na homa ,na usiku ndoto kibao ata 10 na nyingine za kijinga kuna moja nimeota watu watatu wameniletea barua niende kwenye pombe ni balaa aisee hapa nilipo misuli ya mwili sielewi elewiSio sahihi kuacha pombe au chochote ulichokuwa unatumia kwa muda mrefu sana na kukizoea ghafla. Kunatakiwa upunguze, mfano ulikuwa unakunywa chupa kumi kwa siku au wiki unaweza ukapunguza zikawa tano, tatu, mbili, Moja na hatimaye unaacha kabisa
Kuacha pombe ghafla kunaweza kupelekea kupata hali inayoitwa withdrawal syndrome. Weka malengo, nia na tekeleza dhamira yako utafanikiwa.
Umeongea ukweli mtupu MkuuHasara za pombe:
Kuzaa watoto wengi, magonjwa, ajali, ugomvi, kupoteza fedha nyingi kununua pombe na kupoteza muda
ni kweli.Utateseka siku 3 mpaka wiki. Baada ya hapo uta recover. Kunywa maji, juice, chakula kilaini, kula kwa awamu kidogo kidogo, pata mda wa kupumzika. Utakosa usingizi kwa siku kadhaa za mwanzo, hutaweza kula vizuri, mapigo ya moyo, etc, mwili utakua hovyo in short.Ukikaza siku nlizotaja hapo juu utatoboa mkuu. Niamini mimi
Isije kuwa unatupanga tuuMambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Fanya mazoezi kula matunda sana na epuka kuwaza na kutembelea vijiwe vya pombe. Chagua kitu kingine mbadalaMambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Pega vyombo wewe acha KULIA LIA wambie wakupe ka K vant kadogo hapo uanze nako mzee wa halmashauri/ six digits.poa poa maana hapa nimeshapigika na homa ,na usiku ndoto kibao ata 10 na nyingine za kijinga kuna moja nimeota watu watatu wameniletea barua niende kwenye pombe ni balaa aisee hapa nilipo misuli ya mwili sielewi elewi
Mm nimekunywa sana pombe. Imeniharibia mambo mengi sana. Ila sasa nimeacha kabisa yaani sitamani hata kuionaUshauri mbaya unanipa mzee