Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

Kumbe ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu? Tupe elimu kidogo hapa maana wengine hututoi kwny Alizeti kina Ava na wenzao
Seed oils releases free radical upon heating which are harmful, also zna Omega 3 kwa wingi which also is not good, animal oils ni kinyume chake plus Yana Omega 6 which is good for your body
 
Mambo vipi wadau?

Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Siwezi hata kukupa mbinu hata moja ya kupona wewe ni msaliti hufai kabisa
 
Muda unaotumia kwenda kweny pombe ungana hata na maveteran hapo mtaani mfanye hata mazoez au kucheza mpira..ukitoka unaoga ukiingia kitandani ni mpk kesho asubuh...mwenyew nipo kweny hyo program ..
 
ACHA mkuu HAINA inshu HIYO LABDA ka unapiga mara MOJA MOJA nayo zisizidi mbili mkuu familia nyingi zmesambaratika KISA pombe
SIKU nilioichukia pombe ILIKUA HIVI. Tumeenda kumsalim JAMAA yetu tuka Kuta mzee wake kalewa chakari YANI hajitambui basi tukambeba kumuingiza ndani tumekaa NJE mzee kakurupuka kaja sebuleni tulipo katoa mshedede kaanza kukojoa hadharani DAH JAMAA yetu ALIKUA hatuangalii usoni MPAKA ikabid tusepe pale maniska bila kuaga na watoto WA kike wapo. Halafu ukikuta hajalewa YUPO fresh TU NASIKIA mabinti zake hua wanamchenga ETI atawabaka
 
Seed oils releases free radical upon heating which are harmful, also zna Omega 3 kwa wingi which also is not good, animal oils ni kinyume chake plus Yana Omega 6 which is good for your body
Ni vice versa Kiongozi.

Seeds oils (Poly Unsaturated Oils) zina Omega 6 (Inflammatory).

Animal oil (Saturated Oils) & Mono-unsaturated Oils (Olive, Coconut Oils) zina Omega 3 (Anti-inflammatory).
 
Ni vice versa Kiongozi.

Seeds oils (Poly Unsaturated Oils) zina Omega 6 (Inflammatory).

Animal oil (Saturated Oils) & Mono-unsaturated Oils (Olive, Coconut Oils) zina Omega 3 (Anti-inflammatory).
Yeah nlichanganya mkuu,Shukrani kwa kunirekebisha
 
Mambo vipi wadau?

Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Inategemea Pombe Umeipa nafasi gani katika Maisha Yako ila Kila kitu sio kazi kuacha ni rahic ukiamua
 
Mambo vipi wadau?

Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?
Unaelekea kuwa kichaa fanya kununa uwe unakunywa kidg kidg home then hela zikiongezeka uje tuendelee kuchafua meza
 
Sio sahihi kuacha pombe au chochote ulichokuwa unatumia kwa muda mrefu sana na kukizoea ghafla. Kunatakiwa upunguze, mfano ulikuwa unakunywa chupa kumi kwa siku au wiki unaweza ukapunguza zikawa tano, tatu, mbili, Moja na hatimaye unaacha kabisa

Kuacha pombe ghafla kunaweza kupelekea kupata hali inayoitwa withdrawal syndrome. Weka malengo, nia na tekeleza dhamira yako utafanikiwa.

Hiyo hali unayopota itaisha ondoa hofu.
Withdrawal syndrome ni mbaya sana imenitesa mimi acha tu nilikua silali usiku naota mandoto ya ajabu, nikawa muoga ghafla nikawa naumwa yani shida juu ya shida hata kutembea nikawa natembea kama kitenesi nadunda dund yan mikono inatetemeka yan full mauza uza nilienda kwa dokta mmoja hivi Akanipa vitamin b complex za vidonge,, na diazepam za kumeza kuanzia siku hiyo nkapoa mpka leo sijawah onja pombe wala kuitamani
Kuacha pombe ni kazi ngumu sana unaweza kufa
 
Back
Top Bottom