Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

Nasoma mama la smart , kuna kazi nilitakiwa niwasilishe hivyo kutia tungi noma 🤣 tatizo sio pesa ya mimi kulewa🤣
Kumbe koziweki ni mambo za kusoma lol! Santo sana kwa mwongozo!

Pombe haivurugi Masomo kweli??
 
Kitu chochote ukiacha ghafla lazima mwili upate mukhkeri kidogo Ila utazoea.. nliacha wali,ugali,mafuta ya mbegu nk Yani haikua rahisi aisee
 
Kumbe koziweki ni mambo za kusoma lol! Santo sana kwa mwongozo!

Pombe haivurugi Masomo kweli??
Kama tu bongo vyeti vyangu ni visafi nafasi ya kwanza kabisa., wewe unahisi mimi kunywa pombe mama yangu mzazi atawaza?🤣🤣 kwanza yeye mwenyewe kichwa cha ashira now yupo 78 🤣🤣🤣
 


Naomba uje hapa CITY GARDEN mbeya tuje kuzungumza hilo jambo kwa kina tafadhali...

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
DAH WATU WABAYA AISEE HII NDO JANA OFISINI KUNA AFISA NI MPUUZI ETI ANANIAMBIA LEO NIMTAFUTE TUPIGE VITU NIKAMUITIKIA TU MAANA SIJAMWAMBIA ATA HARAKATI YANGU YA KUACHA
 
poa poa maana hapa nimeshapigika na homa ,na usiku ndoto kibao ata 10 na nyingine za kijinga kuna moja nimeota watu watatu wameniletea barua niende kwenye pombe ni balaa aisee hapa nilipo misuli ya mwili sielewi elewi
Hao wana watatu walipokuletea barua kabisa ya kwenda kunywa pombe ulienda au uliwapuuzia?
 
Kama unanywea nyumbani au chini ya uangalizi wa mke ni sawa na mtu asiye kunywa.
Kama bar unafuata pombe tu, kuacha ni rahisi sana.
Kama unanywea bar na unapenda kongoro, mkia, nyama, mziki, kuangalia mpira, kuangalia ma bar maid wanavyokaa nusu uchi, kunawa na kunusa na kuchepuka na malaya ujue wewe wokovu utausikia kwenye redio.
 
Kuvywa Divai mkuu acha uoga Dunia sio yako hii ooohooo.
 
Tatizo naweza kukaza na kufanikiwa fresh. Ila baada ya wiki kadhaa tangu kufanikiwa najikuta nmeingia timu tena kwa kasi na ari zaidi.
 
Mkuu wakati unaacha labda ulisahau kujipongeza na bia hata 2 za mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…