Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
-
- #21
Walevii eee!!, mmemuelewa mdau?"Ubaridi hautabadili kiwango cha alkoholi kwenye pombe, kwa hiyo hali ya kulewa itabaki ile ile. Kilichobadilika ni ladha na hisia unazopata unapokunywa β pombe ikiwa baridi huwa laini zaidi na ladha yake huwa nyepesi, hivyo inaweza kukufanya unywe kwa kasi zaidi bila kuhisi ukali wake mara moja. Hii inaweza kusababisha kulewa haraka bila kujitambua kwa sababu unywaji unakuwa rahisi zaidi."
Mwisho wa kunukuu. Kula vyombo
Yesu alitengeneza divai njema, isiyolewesha. Yesu hawezi kutengeneza divai yenye kilevi(alcohol) halafu aseme walevi hawataingia mbinguni. Halafu, kumbuka, divai aliyotengeneza Yesu ilitokana na maji tu. Wewe hizo pombe kali unazokunywa unazipata kutoka kwenye maji ya bomba?Muujiza wa kwanza wa yesu kristo ulikua upi ndugu mtumishi??
Lutu alileweshwa kwanza na mabinti. Hakufanya dhambi ya uzinzi kwa makusudi; hivyo usiwe mwepesi kumhukumu Lutu.Kina lutu ambao walikua wanaongea na malaika live walikua wanapiga vyombo mpaka wamelala na Binti zao .
Tunasubiri mwongozoMbona wanaweka barafu
Walevi muishi na hii kama katibaSira 31
27πombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.
30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;
humdhoofisha na kumwongezea majeraha.
31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni....."Kila Kitu Ni Kwa Kiasi Na Wakati"
farmented grape afu Haina kileo? Kabla ya hapo lutu alikua anakunywa au ndo ilikua siku yake ya kwanza???Yesu alitengeneza divai njema, isiyolewesha. Yesu hawezi kutengeneza divai yenye kilevi(alcohol) halafu aseme walevi hawataingia mbinguni. Halafu, kumbuka, divai aliyotengeneza Yesu ilitokana na maji tu. Wewe hizo pombe kali unazokunywa unazipata kutoka kwenye maji ya bomba?
Lutu alileweshwa kwanza na mabinti. Hakufanya dhambi ya uzinzi kwa makusudi; hivyo usiwe mwepesi kumhukumu Lutu.
Hicho kitabu ha-ki-ku-ba-li-kiiiiii.Sira 31
27πombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.
30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;
humdhoofisha na kumwongezea majeraha.
31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni....."Kila Kitu Ni Kwa Kiasi Na Wakati"
Divai aliyotengeneza Yesu haikuwa fermented. Lakini ile aliyokunywa Lutu ni wazi ilikuwa fermented.farmented grape afu Haina kileo? Kabla ya hapo lutu alikua anakunywa au ndo ilikua siku yake ya kwanza???
Njoo tujadili andiko la mithali 31-6Divai aliyotengeneza Yesu haikuwa fermented. Lakini ile aliyokunywa Lutu ni wazi ilikuwa fermented.
Hata hivyo Biblia haionyeshi popote kwamba Lutu alikuwa anapenda ulevi kabla ya tukio hilo. Hakuna andiko linalosema alikuwa na tabia ya kunywa kila siku.
Tukio la Mwanzo 19 lilikuwa la kipekee β binti zake walimpa divai inayolevya kwa makusudi ili kumfanya apoteze fahamu na kutekeleza mpango wao wa dhambi.
Mwanzo 19:33 β "Basi wakamnywesha baba yao divai usiku ule..."
Mwanzo 19:35 β "Wakamnywesha baba yao divai usiku ule tena..."
Hii haionyeshi kwamba Lutu alikuwa mlevi wa muda mrefu, bali alinyweshwa pombe kwa hila. Kama angekuwa mlevi sugu, asingehitaji kunyweshwa kwa hila.
Kama ulevi usingekuwa mbaya, kwa nini tukio la Lutu lilikuwa na matokeo mabaya? Lutu alipokunywa:
-Alipoteza fahamu kabisa
-Alilala na binti zake bila kujua
-Alizalisha kizazi kilichokuwa maadui wa Israeli (Moabu na Amoni)
Hayo yote yanaonyesha moja kwa moja madhara ya ulevi. Lutu alikunywa na akafanya dhambi kubwa bila kujua, jambo ambalo linaendana na onyo la Biblia kuhusu ulevi:
Mithali 23:31-33
Usiutazame mvinyo iwapo ni mwekundu;
uitiapo bilauri rangi yake, ushukapo taratibu;
Mwisho wake huuma kama nyoka;
Huchoma kama fira.
Macho yako yataona mambo mageni;
Na moyo wako utatoa yaliyopotoka.
Naam, utakuwa kama alalaye katikati ya bahari;
Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.
Utasema, Wamenichapa wala sikuumia;
Wamenipiga wala sina habari...
Much Loving You Set FππHicho kitabu ha-ki-ku-ba-li-kiiiiii.
Kwa Waprotestanti
Nimeishakujuza. Wewe endelea sasa kupiga pombe utakiona cha moto.
- Kwa sababu hakimo katika Tanakh, Biblia ya Kiyahudi, ambayo inategemea maandiko ya Kiebrania pekee.
- Hiyo ni sehemu ya "Apocrypha", yaani, maandiko ya dini lakini yasiyo na mamlaka ya kiroho kama Biblia.
Dooh!!Divai aliyotengeneza Yesu haikuwa fermented. Lakini ile aliyokunywa Lutu ni wazi ilikuwa fermented.