Hivi kuna madhara yoyote kwa mke kuangalia na kumtumia mume links za porn sites?

Ras

Senior Member
Joined
Mar 16, 2007
Posts
126
Reaction score
6
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili Wana JF. Nina mke ambaye kwa kweli nampenda sana na nilimkuta akiwa bado Kigori, mara ya kwanza alikuwa anachukua muda mfupi sana kufikia kilele lakini hivi karibuni amekuwa akikawia sana. Ni juzi tu kanitumia link ya porn site anasema huwa mara ingine anajifunza kitu humo nikahisi yawezekana ndiyo inayomfanya kwa sasa achelewe sana vile pengine tunapokuwa faragha yeye huwaza pics alizoziangalia kule. Je hili mnalionaje wanajf litamjenga au litambomoa? naomba ushauri wenu.:frusty:
 
Duh! Mkuu Ras mi no comment!

Hope kuna wenye uzoefu ktk hili.......
 
Duh! Mkuu Ras mi no comment!

Hope kuna wenye uzoefu ktk hili.......
Poa Man, nashukuru sana. Ngoja nisubirie wanajamii wengine watasemaje! Guidance
 
Uangaliaji wa Porno kimsingi wa dini hizi tulizozizowea ni dhambi na hakuna kitu kilichoitwa dhambi kisichokuwa na madhara.

Licha ya kuwa kutizama hiyo kitu ni kupromote biashara ya Porno kuna na madhara mengine ya kisaikolojia ambayo yamethibitishwa kisayansi

kuna waokuwa addicted na kukosa hamu ya tendo kikawaida AU kuperfom.
 
Nashukuru Gaijin kwa ushauri, nauchulia kama ni jambo lenye madhara kwa maana kwamba litamuaffect. Lakini Ukiwa mwanamke(natumai ndivyo I can c u r Avator if not AM VERY SORRY) suppose huyu ni rafiki yako utamshauri vipi naye anasema anaangalia ili kujifunza mambo kadhaa wa kadha? ukizingatia kwamba site yenyewe ni zile zinazoonesha hata ujamiifu ambao ktk jamii yetu ki kinyume kabisa na maadili.
 
Madhara ninayoyaona hapa ni mwanamke kukosa hamu wakati wa faragha na hii huenda ikapelekea kukuona wewe kuwa humfikishi endapo nawe utakuwa ni wa kamoja ka dk chache tu!........Ni mtazamo tu.
 
Madhara ninayoyaona hapa ni mwanamke kukosa hamu wakati wa faragha na hii huenda ikapelekea kukuona wewe kuwa humfikishi endapo nawe utakuwa ni wa kamoja ka dk chache tu!........Ni mtazamo tu. [/QUO
Nashukuru Man, nimekupata.:A S 39:
 
Suppose angekuwa ni mkeo ungefanyaje???
 
Ni kuketi naye na kulijadili jambo katika nyanja mbili za mtazamo: Ki maadili na kisaikolojia. Na kuweka bayana athari zake.Katu usitumie ubabe kulizuia maana mara nyingi jambo likizuiwa ki-ubabe mwenye kuzuiwa atafanya ili kutaka kuona reaction ya mzuiaji.
 
Porn inategemea na aina ya mwenza ulie nae kuna wengine hutaki kuamini kama wanaweza kuchukua muda wao kuziangalia, achilia mbali kutuma sites. Yaelekea kuna jambo anataka kukuambia na inabidi atumie hiyo njia ndefu na batili kiukweli. Kwa hisani ya watu wa marekani kaeni chini muuvunje ukimya. Porn zina uchafu mwingi japo zina mafunzo kadhaa. Pia usiichukulie ngona kwa mkeo kama kitendo cha adabu sana na ndio maana anakuthibitishia kwa kukutumia link za ngono
 
kwa hisani ya watu wa marekani,lol
 
Kipipili..... Nafikiri la kufanya ni kumueleza athari zake kimaadili na kisayansi kwa ushahidi kamili......nafikiri uki google hapo unaweza kupata cha kumwambia.

Lkn naamini hata huyo mkeo anajua kuwa kimaadili na kisayansi yupo wrong lkn anafanya........ So you better find the root of the problem pia.

Ilikuaje akaanza kutizama na what is she trying to learn from it...... Nafikiri Kama ulivyoshauriwa na Kingi tumia hisani ya watu wa marekani (lol) ukae chini ufukue mzizi wa tatizo
 
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili Wana JF. Nina mke ambaye kwa kweli nampenda sana na nilimkuta akiwa bado Kigori, mara ya kwanza alikuwa anachukua muda mfupi sana kufikia kilele lakini hivi karibuni amekuwa akikawia sana. Ni juzi tu kanitumia link ya porn site anasema huwa mara ingine anajifunza kitu humo nikahisi yawezekana ndiyo inayomfanya kwa sasa achelewe sana vile pengine tunapokuwa faragha yeye huwaza pics alizoziangalia kule. Je hili mnalionaje wanajf litamjenga au litambomoa? naomba ushauri wenu.:frusty:

...hata mapishi yakiwa hayo hayo kila siku chakula hakinogi ....inabidi kuibia na kujifunza ufundi na utundu mpya ili kinacholiwa kinoge na wote mridhike.
 
tatizo la porno bibie anaweza kuanza kulinganisha "maumbile"
na kutamani mikao/mitindo anayoiona huko kwenye link.

nashauri tu mpe hiyo mitindo anayokutumia kwenye link uone
mambo yatakwendaje. sidhani kama unaweza kumzuia kuangalia hizo
site za porno sanasana ataacha tu kukutumia.

hii inanikumbusha jamaa aliyekua anaacha pesa kidogo nyumbani za matumizi lakini akirudi jioni
anakuta wife amekaangiza msosi unaoonekana wa gharama kuliko pesa alizoacha
asubuhi! jamaa akaanza kupandisha na kuhoji kwa sana tu pesa zinapatikana wapi?
wife akaona isiwe taabu, basi ikawa mchana anawakaangazia watoto msosi wa nguvu
na jioni jamaa akirudi anakuta michemsho inayolingana na senti alizoacha lol
 
Kipipili..... Nafikiri la kufanya ni kumueleza athari zake kimaadili na kisayansi kwa ushahidi kamili......nafikiri uki google hapo unaweza kupata cha kumwambia.

Lkn naamini hata huyo mkeo anajua kuwa kimaadili na kisayansi yupo wrong lkn anafanya........ So you better find the root of the problem pia.

Ilikuaje akaanza kutizama na what is she trying to learn from it...... Nafikiri Kama ulivyoshauriwa na Kingi tumia hisani ya watu wa marekani (lol) ukae chini ufukue mzizi wa tatizo

Samahani kwa kuwa mgumu kuelewa hapa mwamaanisha nini ati(Gaijin, Kingi, Kipipili)?? ""kwa hisani ya watu wa marekani (lol)""
 
Mkuu hebu mjaribu tiGo atakuwa na uzoefu kwenye kuangalia online Ushauri huu ni ""kwa hisani ya watu wa Marekani ""
 
...hata mapishi yakiwa hayo hayo kila siku chakula hakinogi ....inabidi kuibia na kujifunza ufundi na utundu mpya ili kinacholiwa kinoge na wote mridhike.
Ni kweli unachosema Mkuu lakini tatizo ni kuwa awali alikuwa akifika kilele mapema na bila shida sasa hivi kufika hiyo kilele anadai anafika kwa shida nadhani ni hisia ziakuwa upande huo zaidi!! nadhani wanielewa hapo?
 
Mkuu hebu mjaribu tiGo atakuwa na uzoefu kwenye kuangalia online Ushauri huu ni ""kwa hisani ya watu wa Marekani ""
TiGo mkuu HAPANA! nashukuru kwa ushauri:A S-confused1:
 
Ni kweli unachosema Mkuu lakini tatizo ni kuwa awali alikuwa akifika kilele mapema na bila shida sasa hivi kufika hiyo kilele anadai anafika kwa shida nadhani ni hisia ziakuwa upande huo zaidi!! nadhani wanielewa hapo?

Hilo la kutofika kileleni mapema labda linasababishwa na yeye kujishughulikia mwenyewe baada ya kuzidiwa hamu kutokana na kuangalia hizo movies. Siyo yote mnayoyaona kwenye porn movies ni lazima muyaige kuna mengine mnaweza kabisa kuachana nayo na kuyaiga yale ambayo wote mnakubaliana nayo kutokana na maadili yenu.
 
Mkuu hebu mjaribu tiGo atakuwa na uzoefu kwenye kuangalia online Ushauri huu ni ""kwa hisani ya watu wa Marekani ""

Dr we mtundu sana lol! hahahahahahah lazima uende mitaa yako ya kujidai hahahahahahah umenichekesha sana aisee na ushauri wako.
 
Back
Top Bottom