Ras
Senior Member
- Mar 16, 2007
- 126
- 6
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili Wana JF. Nina mke ambaye kwa kweli nampenda sana na nilimkuta akiwa bado Kigori, mara ya kwanza alikuwa anachukua muda mfupi sana kufikia kilele lakini hivi karibuni amekuwa akikawia sana. Ni juzi tu kanitumia link ya porn site anasema huwa mara ingine anajifunza kitu humo nikahisi yawezekana ndiyo inayomfanya kwa sasa achelewe sana vile pengine tunapokuwa faragha yeye huwaza pics alizoziangalia kule. Je hili mnalionaje wanajf litamjenga au litambomoa? naomba ushauri wenu.:frusty: