Nashukuru Gaijin kwa ushauri, nauchulia kama ni jambo lenye madhara kwa maana kwamba litamuaffect. Lakini Ukiwa mwanamke(natumai ndivyo I can c u r Avator if not AM VERY SORRY) suppose huyu ni rafiki yako utamshauri vipi naye anasema anaangalia ili kujifunza mambo kadhaa wa kadha? ukizingatia kwamba site yenyewe ni zile zinazoonesha hata ujamiifu ambao ktk jamii yetu ki kinyume kabisa na maadili.Uangaliaji wa Porno kimsingi wa dini hizi tulizozizowea ni dhambi na hakuna kitu kilichoitwa dhambi kisichokuwa na madhara.
Licha ya kuwa kutizama hiyo kitu ni kupromote biashara ya Porno kuna na madhara mengine ya kisaikolojia ambayo yamethibitishwa kisayansi
kuna waokuwa addicted na kukosa hamu ya tendo kikawaida AU kuperfom.
Suppose angekuwa ni mkeo ungefanyaje???Madhara ninayoyaona hapa ni mwanamke kukosa hamu wakati wa faragha na hii huenda ikapelekea kukuona wewe kuwa humfikishi endapo nawe utakuwa ni wa kamoja ka dk chache tu!........Ni mtazamo tu. [/QUO
Nashukuru Man, nimekupata.:A S 39:
Porn inategemea na aina ya mwenza ulie nae kuna wengine hutaki kuamini kama wanaweza kuchukua muda wao kuziangalia, achilia mbali kutuma sites. Yaelekea kuna jambo anataka kukuambia na inabidi atumie hiyo njia ndefu na batili kiukweli. Kwa hisani ya watu wa marekani kaeni chini muuvunje ukimya. Porn zina uchafu mwingi japo zina mafunzo kadhaa. Pia usiichukulie ngona kwa mkeo kama kitendo cha adabu sana na ndio maana anakuthibitishia kwa kukutumia link za ngono
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili Wana JF. Nina mke ambaye kwa kweli nampenda sana na nilimkuta akiwa bado Kigori, mara ya kwanza alikuwa anachukua muda mfupi sana kufikia kilele lakini hivi karibuni amekuwa akikawia sana. Ni juzi tu kanitumia link ya porn site anasema huwa mara ingine anajifunza kitu humo nikahisi yawezekana ndiyo inayomfanya kwa sasa achelewe sana vile pengine tunapokuwa faragha yeye huwaza pics alizoziangalia kule. Je hili mnalionaje wanajf litamjenga au litambomoa? naomba ushauri wenu.:frusty:
Kipipili..... Nafikiri la kufanya ni kumueleza athari zake kimaadili na kisayansi kwa ushahidi kamili......nafikiri uki google hapo unaweza kupata cha kumwambia.
Lkn naamini hata huyo mkeo anajua kuwa kimaadili na kisayansi yupo wrong lkn anafanya........ So you better find the root of the problem pia.
Ilikuaje akaanza kutizama na what is she trying to learn from it...... Nafikiri Kama ulivyoshauriwa na Kingi tumia hisani ya watu wa marekani (lol) ukae chini ufukue mzizi wa tatizo
Ni kweli unachosema Mkuu lakini tatizo ni kuwa awali alikuwa akifika kilele mapema na bila shida sasa hivi kufika hiyo kilele anadai anafika kwa shida nadhani ni hisia ziakuwa upande huo zaidi!! nadhani wanielewa hapo?...hata mapishi yakiwa hayo hayo kila siku chakula hakinogi ....inabidi kuibia na kujifunza ufundi na utundu mpya ili kinacholiwa kinoge na wote mridhike.
Ni kweli unachosema Mkuu lakini tatizo ni kuwa awali alikuwa akifika kilele mapema na bila shida sasa hivi kufika hiyo kilele anadai anafika kwa shida nadhani ni hisia ziakuwa upande huo zaidi!! nadhani wanielewa hapo?
Mkuu hebu mjaribu tiGo atakuwa na uzoefu kwenye kuangalia online Ushauri huu ni ""kwa hisani ya watu wa Marekani ""