Hivi kuna mafuta ya kubadili rangi ya nywele kuwa nyeusi?

Hivi kuna mafuta ya kubadili rangi ya nywele kuwa nyeusi?

Hiyo avocado umetengeneza mwenyewe au?
Ndio ni homemade
b398f13582aa41286eaa70b379a1f037.jpg
 
Mkuu ungetupa mrejesho basi hayo mafuta yanapatikana wapi na unavyopaka yanabadili kweli rangi ya nywele na vip hayo madoa kwenye nguo huwa yanatokea ukishapaka...???
mkuu mi nimepaka almost mwaka sasa. yako vzr tu unapaka kama mafuta tu yanabadili nywele. na pia baadae unaosha ili uchafu usibaki kichwani kuchafua nguo. kuhusu kukatika nywele ndo nafanya uchunguzi. mi nilinunua maduka ya vipodozi sipo dar mkuu.
 
Okay,,ngoja siku nikienda Dar ntayatafuta
 
Vaida hakuna kitu,,, nilishatumia sana haijasaidia
Nimewahitumia virutubisho kutoka arusha mvi zikaisha zote nikaacha kutumia miaka miwili naona zimeaza kurudi, naomba mwenye kuwajua hawa jamaa wa arusha wanaouza virutubisho nimesahau jina lake na namba nilipoteza naomba mnisaidie mnaowafahamu, manake waliniambia nichukue pakti tatu nikachukua moja nilivoona zimeisha nikapotea.
 
Back
Top Bottom