Hivi kuna mahusiano gani kati ya chumvi na engine ya gari

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Hivi ni kweli gari hata kama ni mpya, ukimwagia chumvi kwenye engine eti engine inakufa (kuzima), yaani haliwaki tena? Je, kuna ukweli wowote, na kuna mahusiano gani hapo?

Naomba kujuzwa.
 
Sababu chumvi haiyeyuki kwenye mafuta (petrol/diesel), so chumvi itapita kwenye chujio la mafuta (fuel filter) then itaenda kwenye injectors mpaka kwenye clyinders na kusababisha kuta za clyinder kusuguana, na hivyo kuua piston rings na kusababisha engine kukosa nguvu.
 
Wacha na mie nisubiri maana hivi karibuni nilikuwa kisiwa cha Irugwa nikasikia stori inayofanania hii.
Kumbe na wewe huko hufika. Engine za magari sijui ila engine za ma boat huwa zinakufa kabisa. Yaani haitowaka kabisa kama itamwagiwa ikiwa wazi. Huo mchezo huchezwa kwa bosi wakorofi na wanaozurumu wafanyakazi wao. Tunafanya hivi.

Unachukua lita mbili za maji ukachanganya na kilo kama tano za chumvi kisha unafunua bonet unamwaga mule kwenye brock baadae unafunika. Ni nzuri zaidi kama injini itakuwa imehifadhiwa ( haiko kikazi kwa muda huo) kisha unasepa maana wakikugundua unaweza fungwa nanga na kuzamishwa ziwani.
 
Unachukua lita mbili za maji ukachanganya na kilo kama tano za chumvi kisha unafunua bonet unamwaga mule kwenye brock baadae unafunika.ni nzuri zaidi kama injini itakuwa imehifadhiwa( haiko kikazi kwa muda huo) kisha unasepa. Maana wakikugundua unaweza fungwa nanga na kuzamishwa ziwani
Hii michezo ya hatari sana mkuu. Kuna chombo moja ya mwana iko hapo haina kazi kabisa, wanga walitia chumvi.
 
Kabla wengine hatujaweka uelewa wetu, pengine natamani kujua lengo lako la kujua jambo hili kiundani before we proceed.
 
Kumbe na wewe huko hufika. Engine za magari sijui ila engine za ma boat huwa zinakufa kabisa. Yaani haitowaka kabisa kama itamwagiwa ikiwa wazi. Huo mchezo huchezwa kwa bosi wakorofi na wanaozurumu wafanyakazi wao. Tunafanya hivi.

Unachukua lita mbili za maji ukachanganya na kilo kama tano za chumvi kisha unafunua bonet unamwaga mule kwenye brock baadae unafunika.ni nzuri zaidi kama injini itakuwa imehifadhiwa( haiko kikazi kwa muda huo) kisha unasepa. Maana wakikugundua unaweza fungwa nanga na kuzamishwa ziwani
Nini madhara yake
 
Yawezakuwa yeye ni mwanga kuliko wao. Kulikuwa na engine moja horsepower 55 ya jamaa ilikuwa inatumika kwa ajiri ya wizi. Sasa akawazurumu wale wezi wake. Waliifanyia hivyo kikundi kikafa na vitendea kazi vikafa. Kwa kuwa compamy yake ilijiendesha kwa upigaji aliishia pale
Hii michezo ya hatari sana mkuu. Kuna chombo moja ya mwana iko hapo haina kazi kabisa, wanga walitia chumvi.
 
Yawezakuwa yeye ni mwanga kuliko wao. Kulikuwa na engine moja horsepower 55 ya jamaa ilikuwa inatumika kwa ajiri ya wizi. Sasa akawazurumu wale wezi wake. Waliifanyia hivyo kikundi kikafa na vitendea kazi vikafa. Kwa kuwa compamy yake ilijiendesha kwa upigaji aliishia pale
Dah! Kweli asee huezi jua mwanga ni nani hasa, maana hizi stori za kusikia upande mmoja zinakuwaga na madahara yake
 
Sababu Chumvi haiyeyuki kwny mafuta(petrol/diesel) so chumvi itapita kwny chujio la mafuta(fuel filter) then itaenda kwenye injectors mpk kwny clyinders na kusababisha kuta za clyinder kusuguana na hivyo kuua piston rings na kusababisha engine kukosa nguvu.
Naongezea kidogo,
Uharibifu huwa Mkubwa kwenye mashimo ya piston yaani cylinder matundu haya hutanuka kutokana na msuguano wa vyuma na chumvi. Uunguaji wa mafuta pia huadhilika kwa sababu hewa na mafuta huchanganyika na kemikali za chumvi hivyo engine hushindwa kuzalisha nguvu ya kutosha kuendesha gari.

Mfumo wa kurainisha vipuri ndani ya engine pia hupatwa na madhara kwa sababu oil huwa inachanganyika na kemikali za chumvi ambazo kikemikali huzaliwa kitu kingine kabisa.

Kumbuka licha ya chumvi kuwa soluble kwenye kimiminika bado ikifika ndani ya engine hurejea kuwa insoluble hii ni kwa sababu ya joto kubwa lililopo ndani ya engine
 
Naongezea kidogo
Uharibifu huwa Mkubwa kwenye mashimo ya piston yaani cylinder matundu haya hutanuka kutokana na msuguano wa vyuma na chumvi
Uunguaji wa mafuta pia huadhilika kwa sababu hewa na mafuta huchanganyika na kemikali za chumvi hivyo engine hushindwa kuzalisha nguvu ya kutosha kuendesha gari
Mfumo wa kurainisha vipuri ndani ya engine pia hupatwa na madhara kwa sababu oil huwa inachanganyika na kemikali za chumvi ambazo kikemikali huzaliwa kitu kingine kabisa
Kumbuka licha ya chumvi kuwa soluble kwenye kimiminika bado ikifika ndani ya engine hurejea kuwa insoluble hii ni kwa sababu ya joto kubwa lililopo ndani ya engine
Safi sana mkuu,elimu nzuri hii.
 
Yawezakuwa yeye ni mwanga kuliko wao. Kulikuwa na engine moja horsepower 55 ya jamaa ilikuwa inatumika kwa ajiri ya wizi. Sasa akawazurumu wale wezi wake. Waliifanyia hivyo kikundi kikafa na vitendea kazi vikafa. Kwa kuwa compamy yake ilijiendesha kwa upigaji aliishia pale
Duuh, Horsepower 55 ndio iliyokuwa kubwa mpaka inapiga kazi za wizi.

Nikiwa na Horsepower 200 nikija Mwanza nitakuwa nawakimbiza kuanzia Kasalazi,Gozba,Kijiweni,Sengerema,Muleba mpaka Kome.
 
Kumbe na wewe huko hufika. Engine za magari sijui ila engine za ma boat huwa zinakufa kabisa. Yaani haitowaka kabisa kama itamwagiwa ikiwa wazi. Huo mchezo huchezwa kwa bosi wakorofi na wanaozurumu wafanyakazi wao. Tunafanya hivi.

Unachukua lita mbili za maji ukachanganya na kilo kama tano za chumvi kisha unafunua bonet unamwaga mule kwenye brock baadae unafunika. Ni nzuri zaidi kama injini itakuwa imehifadhiwa ( haiko kikazi kwa muda huo) kisha unasepa maana wakikugundua unaweza fungwa nanga na kuzamishwa ziwani.
Mkuu mafundi wa outboard engine wapo wengi visiwani au mtu mwenye mitumbwi anakuwa na fundi wake.
 
Horsepower200 utaitumia kwenye boat la chuma ama fible? Kama nilambao tu haitowezekana

Back
Top Bottom