Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mafundi wengi huko wamebobea 2 stroke engine, 4 stroke engine zinawasumbua.Unaweza fungua gereji yako binafsi na ukapiga pesa mpaka basi. Wapo ila hawajakidhi mahitaji
Kila siku nasogeza siku za kuja kufanya ufundi boti huko.