Hivi kuna mahusiano gani kati ya chumvi na engine ya gari

chumvi pia ikiwekwa kupitia njia ya oil ,huwa inakula bearing za mikono ya piston na clen shaft, ni hatari sana si kitu cha kuzungumzia
kwa kuongezea hata mafuta ya break yakiwekwa kwenye tank ya mafuta(kwa diesel) gari huwa inakula mafuta kuliko kawaida ni balaa
 
Hii mbinu madereva ofisini kwetu walikua wanaitumia sana inapotokea logistic manager akijifanya mnoko,jamaa wanamimina tu mafuta ya breki kwny tank la mafuta.

Mafuta yatalika hapo si polepole.
 
Horsepower200 utaitumia kwenye boat la chuma ama fible? Kama nilambao tu haitowezekana
Hata kwenye ya mbao, nakumbuka huko kuna kabla ya kufika Muleba kuna Jamaa kafunga engine ya Land Rover kwenye mtumbwi wa mbao.

Pia kuna mwingine nadhani ni Geita yeye ni fundi amefunga engine ya Corolla ila gearbox kaweka ya marine kwenye mtumbwi wa mbao.

Kama wa Thailand mwaka 2016 walifunga engine ya 1jz kwenye boti la mbao na ikafanya vyema. Kule wenzetu wanajaribu sana washafunga engine za Scania,Yanmar na Isuzu kisha wanashiriki kwenye Boat show.
 
Watu wa majahazi wanafunga engine za Caterpiller D8 kwenye majahazi ya mbao. Ishu kubwa ni sehemu ya engine mount kuwa imara na mbao za kingo kuwa imara kuzuia mitetemo ambayo itafanya chombo kipate udhaifu.
 
Yes unajua kinachotakiwa ni ukubwa wa boat. Hii ita balance speed ya boat. Mfano ni mzee abdoni wa huko geita yeye anatumia engine za kusaga unga zile kubwa za horsepower 48. Zinapig kazi vizuri ila katika boat lenye zaidi ya m³ 60,000. Lakini kwa mfumo wa kusema ukimbize ziwa zima kwa speed kama mdau mmoja hapo juu alivyosema basi itakubidi uwe na boat dogo chini ya m³ 10,000 kitu ambacho ubao utashindwa kuhimili msuguano wa maji kwa hiyo ijini
Hata kwenye ya mbao, nakumbuka huko kuna kabla ya kufika Muleba kuna Jamaa kafunga engine ya Land Rover kwenye mtumbwi wa mbao.

Pia kuna mwingine nadhani ni Geita yeye ni fundi amefunga engine ya Corolla ila gearbox kaweka ya marine kwenye mtumbwi wa mbao.

Kama wa Thailand mwaka 2016 walifunga engine ya 1jz kwenye boti la mbao na ikafanya vyema. Kule wenzetu wanajaribu sana washafunga engine za Scania,Yanmar na Isuzu kisha wanashiriki kwenye Boat show.
 
Mara nyingi sisi patrol boat hutumia mbao za ukubwa wa 0.8 inch ama 1 inch. Hivyo engine kubwa itafanya hilo boat kushindwa kuhimili. Ila inawezekana kuwekwa kwenye boat kubwa lenye mbao zenye ukubwa(unene) zaidi ya nchi moja. Na lisiwe la kivuvi wala doria
Watu wa majahazi wanafunga engine za Caterpiller D8 kwenye majahazi ya mbao. Ishu kubwa ni sehemu ya engine mount kuwa imara na mbao za kingo kuwa imara kuzuia mitetemo ambayo itafanya chombo kipate udhaifu.
 
Naongezea kidogo
Uharibifu huwa Mkubwa kwenye mashimo ya piston yaani cylinder matundu haya hutanuka kutokana na msuguano wa vyuma na chumvi
Uunguaji wa mafuta pia huadhilika kwa sababu hewa na mafuta huchanganyika na kemikali za chumvi hivyo engine hushindwa kuzalisha nguvu ya kutosha kuendesha gari
Mfumo wa kurainisha vipuri ndani ya engine pia hupatwa na madhara kwa sababu oil huwa inachanganyika na kemikali za chumvi ambazo kikemikali huzaliwa kitu kingine kabisa
Kumbuka licha ya chumvi kuwa soluble kwenye kimiminika bado ikifika ndani ya engine hurejea kuwa insoluble hii ni kwa sababu ya joto kubwa lililopo ndani ya engine

Natumae mleta mada utakua umepata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Duu baadae itakuwaje kwani
Kumbe na wewe huko hufika. Engine za magari sijui ila engine za ma boat huwa zinakufa kabisa. Yaani haitowaka kabisa kama itamwagiwa ikiwa wazi. Huo mchezo huchezwa kwa bosi wakorofi na wanaozurumu wafanyakazi wao. Tunafanya hivi.

Unachukua lita mbili za maji ukachanganya na kilo kama tano za chumvi kisha unafunua bonet unamwaga mule kwenye brock baadae unafunika. Ni nzuri zaidi kama injini itakuwa imehifadhiwa ( haiko kikazi kwa muda huo) kisha unasepa maana wakikugundua unaweza fungwa nanga na kuzamishwa ziwani.
 
Kwani hiyo chumvi muda wote huo haiyeyuki?
Naongezea kidogo
Uharibifu huwa Mkubwa kwenye mashimo ya piston yaani cylinder matundu haya hutanuka kutokana na msuguano wa vyuma na chumvi
Uunguaji wa mafuta pia huadhilika kwa sababu hewa na mafuta huchanganyika na kemikali za chumvi hivyo engine hushindwa kuzalisha nguvu ya kutosha kuendesha gari
Mfumo wa kurainisha vipuri ndani ya engine pia hupatwa na madhara kwa sababu oil huwa inachanganyika na kemikali za chumvi ambazo kikemikali huzaliwa kitu kingine kabisa
Kumbuka licha ya chumvi kuwa soluble kwenye kimiminika bado ikifika ndani ya engine hurejea kuwa insoluble hii ni kwa sababu ya joto kubwa lililopo ndani ya engine
 
Khaa kumbee

Inategemea ni boti au ?
Duuh, Horsepower 55 ndio iliyokuwa kubwa mpaka inapiga kazi za wizi.

Nikiwa na Horsepower 200 nikija Mwanza nitakuwa nawakimbiza kuanzia Kasalazi,Gozba,Kijiweni,Sengerema,Muleba mpaka Kome.
 
Back
Top Bottom