Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Maisha lazima yawe na mwanzo na mwisho. Yaani kinachoishi lazima kiwe na mwili. Ukipoteza mwili, umepoteza maisha.

Ukipoteza mwili unaendelea kuwepo. Kwakuwa wewe ni nishati utabadilika na kuwa katika namna ingine.
 
Back
Top Bottom