Johnie2323 Senior Member Joined Dec 12, 2024 Posts 147 Reaction score 140 Feb 23, 2025 #261 L min -me said: Umejuaje kila mtu ananywea? Click to expand... LIkija suala la kifo kila mtu anakuwa mpole...kifo hakina huruma.
L min -me said: Umejuaje kila mtu ananywea? Click to expand... LIkija suala la kifo kila mtu anakuwa mpole...kifo hakina huruma.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Feb 23, 2025 #262 Johnie2323 said: L LIkija suala la kifo kila mtu anakuwa mpole...kifo hakina huruma. Click to expand... Sio kila mtu anaogopa kifo na hakuna haja ya kuogopa kitu ambacho lazima kikupate ni nature tu
Johnie2323 said: L LIkija suala la kifo kila mtu anakuwa mpole...kifo hakina huruma. Click to expand... Sio kila mtu anaogopa kifo na hakuna haja ya kuogopa kitu ambacho lazima kikupate ni nature tu
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 1,482 Reaction score 2,260 Feb 23, 2025 #263 Maisha lazima yawe na mwanzo na mwisho. Yaani kinachoishi lazima kiwe na mwili. Ukipoteza mwili, umepoteza maisha. Ukipoteza mwili unaendelea kuwepo. Kwakuwa wewe ni nishati utabadilika na kuwa katika namna ingine.
Maisha lazima yawe na mwanzo na mwisho. Yaani kinachoishi lazima kiwe na mwili. Ukipoteza mwili, umepoteza maisha. Ukipoteza mwili unaendelea kuwepo. Kwakuwa wewe ni nishati utabadilika na kuwa katika namna ingine.
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 487 Reaction score 883 Feb 24, 2025 #264 Huyo aliekuambia ndo ungemuuliza