Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
nope,it's love showing only...Promo only
amua,afu tuweke mtanange!mie naweka emu moja ukimfunika enock bella!huyo enock nikiamua kuimba haniwezi
Achana nae huyu asije pata aibu kama Juma kila.za alivyopata kujifananisha na wanaoweza.amua,afu tuweke mtanange!mie naweka emu moja ukimfunika enock bella!
ahahahaAchana nae huyu asije pata aibu kama Juma kila.za alivyopata kujifananisha na wanaoweza.
tena sana,ushaicheki video ya wimbo wa mpya wa "SU"?jamaaa yuko vizuri..
una uhakika?ebu orodhesha matusi hayo hapa chiniMtu anaimba matusi anasifiwa! Hii nchi bwana
Haha yule anaongea haimbi unampita kabisa ukiamuahuyo enock nikiamua kuimba haniwezi
ahahaha,dah!jf is never boring!Haha yule anaongea haimbi unampita kabisa ukiamua
kinyamkera dibwe dibwe ndio aniweze mimiHaha yule anaongea haimbi unampita kabisa ukiamua
Nimecheka hatariii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sjui umewaza nnkinyamkera dibwe dibwe ndio aniweze mimi
ndio anachoimba halafu eti nae ana mashabikiNimecheka hatariii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sjui umewaza nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio anachoimba halafu eti nae ana mashabiki