Hivi Kuna Mashabiki Wenzangu Damu wa Enock Bella wa Yamoto Band Kama Mimi?

Hivi Kuna Mashabiki Wenzangu Damu wa Enock Bella wa Yamoto Band Kama Mimi?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Wasalaam,
Tangu Yamoto Mpaka Su Ya Juzi,Kila Utokapo Wimbo wa Yamoto Mie Usubiria Beti Zake Tu!
Kuanzia "Una Rambo,Una Muwa",Mpaka ya "Uukalie"...
Hivi Kuna Enock Bella's Fans Humu...?
Kama Mpo,Ebu Dondosha Verses Zake Ambazo Zinakukuna...
 
Mbona siku hizi hawasikiki tena hao madogo?

Wameshakifu soko nini?
 
Back
Top Bottom