Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
baby,nazungumzia uimbaji wa Enock Bella wa Yamoto Band!Na Pia Hasa Ile Mistari Yake Ya Kijanja!Na Mwisho Uzi Huu Unaazimia Kuwaleta Karibu Mashabiki Wake Wote Karibu Ili Tubadilishane Uzoefu na Kila Shabiki Aelezee ni Mistari Ipi na Katika Nyimbo Ipi ya Yamoto Ya Bella InamkunaUnazungumzia nini hapa dear???????? Sijaelewa bado
acha roho mbaya mkuuHahhaa hastahili hata kuitwa dear...
yakhee,namzungumzia Bella wa Yamoto Bandndo nani yaheeee?
uko sahihi,hata Aslay haingii tenaMaromboso anajua kuimba si mchezo
Siyo roho mbaya mkuu..hujakidhi vigezo kwa kweliacha roho mbaya mkuu
ahahaha,mkuu vigezo vipi?vya kuposti au utanashati?Siyo roho mbaya mkuu..hujakidhi vigezo kwa kweli
[emoji13] [emoji13] [emoji13]. Me namkubali kinyamkera dibwe dibwe dibwe, sijui jina lake nani mwenye sauti ya pill
Anaitwa Enock Bella!. Me namkubali kinyamkera dibwe dibwe dibwe, sijui jina lake nani mwenye sauti ya pill
:-D:-D;-)[emoji13] [emoji13] [emoji13]
asante mkuu,Facebook anatumia jina gani?una picha yake?kama unayo ipandishe humuKuna mdogo wake pia yupo kwenye yamoto band dogo anaitw MUUBELLA ni hatareee
nEnda instagram anaitwa MUUBELLAasante mkuu,Facebook anatumia jina gani?una picha yake?kama unayo ipandishe humu
asante mkuu,Facebook anatumia jina gani?una picha yake?kama unayo ipandishe humu
ww ndio uunaPEO mdogo wa kuelewahaw jamaa wanapotea wametoa ngoma inaitw su nyimbo mbaya na haileweki
mkuu me naujua mziki kwanza ni nyimbo ambayo haijapata mapokezi makubwa af wao wenyew walijua ilo sio kali kiivyo ndo wakatengeneza kiki kwanz ya ruby na aslay af mabeat yaleyale uimbaji ule ule wabadilikeww ndio uunaPEO mdogo wa kuelewa