Hivi Kuna Mashabiki Wenzangu Damu wa Enock Bella wa Yamoto Band Kama Mimi?

Hivi Kuna Mashabiki Wenzangu Damu wa Enock Bella wa Yamoto Band Kama Mimi?

Unazungumzia nini hapa dear???????? Sijaelewa bado
baby,nazungumzia uimbaji wa Enock Bella wa Yamoto Band!Na Pia Hasa Ile Mistari Yake Ya Kijanja!Na Mwisho Uzi Huu Unaazimia Kuwaleta Karibu Mashabiki Wake Wote Karibu Ili Tubadilishane Uzoefu na Kila Shabiki Aelezee ni Mistari Ipi na Katika Nyimbo Ipi ya Yamoto Ya Bella Inamkuna
 
Kuna mdogo wake pia yupo kwenye yamoto band dogo anaitw MUUBELLA ni hatareee
 
asante mkuu,Facebook anatumia jina gani?una picha yake?kama unayo ipandishe humu
e00b16e40c5d0768acda468cb94b90af.jpg
 
ww ndio uunaPEO mdogo wa kuelewa
mkuu me naujua mziki kwanza ni nyimbo ambayo haijapata mapokezi makubwa af wao wenyew walijua ilo sio kali kiivyo ndo wakatengeneza kiki kwanz ya ruby na aslay af mabeat yaleyale uimbaji ule ule wabadilike
 
Back
Top Bottom