Hivi kuna mashine ya kusongea ugali?

Hivi kuna mashine ya kusongea ugali?

Sijawahi kuona mashine ya ugali, ila nadhani, ile mashine ya kukandia unga wa ngano ikifanyiwa modification kidogo inaweza kusonga ugali.
 
Mashine nyingi zilizopo sokoni zimetokana na aina ya chakula na mataarisho yake kuwa ni common ktk nchi ambazo wanatengeneza mashine hizo, hivyo research zilifanyika na kuja na products unazoziona sokoni hivi sasa.

Machine hizi nyingi zinatengenezwa Europe na Asia, na kwa bahati mbaya ugali si chakula miongoni mwa vyakula vyao, hii imepelekea kukosena kwa mashine za ugali.

Nashauri sisi waAfrika ndio tuvumbue hii kitu, tunaweza kuanzia ktk mashine za kukandia unga wa ngano na kuendelea kutoka hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnavopenda kusonga ugali, niajiri tu niwe nakusongea mkuu, uzi ufungwe mbadala wa mashine nishapatikana[emoji3]
Hahahah ngoja nikupe kibarua cha kunisongea Mimi

Napenda sana ugali hasa uwe na mboga ya mnafu uliotiwa kitunguu saumu,dagaa,na samaki au nyama choma pamoja na hot pilipili .

Daah[emoji1787]nikipiga hio msosi kijasho huwa kinanitoka najiona power mabula aisee halafu nikifuliliza ugali wiki mbili Yale Mambo Yale nakuwa mtabe saaana Hadi Mrs anahisi nimemlia kasongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acheni ugali uiitwe ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom