Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Yeah nilishawahi kula hiyo menu yenye ugali huko chuga one time.Wao wana 'stiff porridge' ambayo ni uji mzito na huliwa kwa kisu na umma. Ugali wao hukutana nao huku kama sehemu ya utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka knoma ilaNi hii hapa? View attachment 1420166
bado mashne ya kupika mboga tu mabachela tupone
Lakini nimeona bora mkono, haya madude hayaleti radha sijui why.bado mashne ya kupika mboga tu mabachela tupone
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Hadi ya kusokotea bangi ipoHabari wakuu,
Hivi hamnaga machine ya kusongea ugali? Maana kwenye wali kuna rice coocker, ugali je?
Kipindi hiki cha karantini ni muhimu tukawa na vifaa muhimu kama hivi.
Shukrani.
Hahahah ngoja nikupe kibarua cha kunisongea MimiNnavopenda kusonga ugali, niajiri tu niwe nakusongea mkuu, uzi ufungwe mbadala wa mashine nishapatikana[emoji3]
πππππacha uvivu wewe shika mwiko songa nguna iyoπππ
Mo details pls
π
Vp mkuu?
Nimeshangaa kuona mashine ya kusongea ugaliVp mkuu?
[emoji1] [emoji1]Ni hii hapa? View attachment 1420166
Kwani hiyo chura ndyo inashika mwiko jamani[emoji3][emoji3], kasema ntamfaa hivo hivo chura is nothing.
Hapana si mimi huyoNa wewe ndio huyo kwenye Dp yako ?
Mk54