Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo na unawadhuru walio dhaifukwahiyo uchawi haupo?
Upoooha ha! kwangu ni kama mastori fulani hivi yakupita!
uchawi na teknolojia wapi na wapi ndo yaleyale ya kwenye vita vya majimaji walitusuliwa na imani yao yakichawi...
kwaajili yako😀Upooo
Uchawi ni nguvu hasi negative power ambazo zikitumwa upenya unapokuwa nawe negative ni sawa na umeme haupiti penye kizuizi.Unaweza kunielewa zaid km umesoma laws of nature, universal law,yaani nguvu za asili ungejua jinsi ufanyavo kazi na kujikinga naowadhaifu kivipi?
kama kuna mchawi ataweza kufungua ya iphone huenda kuna watu wanaweza kushawishika kuusomea huo uchawi.Uchawi ni nguvu hasi negative power ambazo zikitumwa upenya unapokuwa nawe negative ni sawa na umeme haupiti penye kizuizi.Unaweza kunielewa zaid km umesoma laws of nature, universal law,yaani nguvu za asili ungejua jinsi ufanyavo kazi na kujikinga nao
Nimecheka sana haki u made my day Ureno hahah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wachawi wangekuwa na akili mimi ninatamani wangechapa viongozi bakora kila wakifanya kinyume ila MICHAWI YETU IPO TU KUUWA WALE WANALETA MAENDELEO,wanataka watu wote wawe masikini.
Wachawi wa Tanzania mnakera sana
Fuatilia kitu kinachoitwa white magic utasikia.sijawai kusikia uchawi umefanya kitu cha maana
Uko saw kabsaa zao ni kafanya watu kuw machizi lakin maisha yao mabayasijawai kusikia uchawi umefanya kitu cha maana
Apo saas uwezo inao lakin matumiz ujui si bora uwe kama mimi mtumishi wa munguMchawi adui yake ni utajiri mbona wanaingia ndani ya nyumba kiuchawi hawachukui pesa zipo juu ya meza.hivi uchawi faida yake nini?