HIVI KUNA MCHEKESHAJI MWENYE KIPAJI KUKUBWA KAMA HUYU HAPA TANZANIA ???


Uwezo wake wa kufikiri umenifanya nifikirie mara mbilimbilia, anajitahidi sana na ana kipaji kikubwa. Hasa hapo alipozungumzia kuhusu NYUMBU dakika ya 1 hadi 4 nimecheka siku nzima leo.
🤣🤣🤣Nimecheka hapo anapo muelezea mwanamke.
 
Mkuu hii ni tamu sana, hapo alipozungumzia visanga vya wanawake ni kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…