MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Uwezo wake wa kufikiri umenifanya nifikirie mara mbilimbilia, anajitahidi sana na ana kipaji kikubwa. Hasa hapo alipozungumzia kuhusu NYUMBU dakika ya 1 hadi 4 nimecheka siku nzima leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Onyesho ni OneshoDaaaah. Amenichekesha sana na visa vyetu. Najuta kukosa onyesho lao la leo kisa uvivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wake wa kufikiri umenifanya nifikirie mara mbilimbilia, anajitahidi sana na ana kipaji kikubwa. Hasa hapo alipozungumzia kuhusu NYUMBU dakika ya 1 hadi 4 nimecheka siku nzima leo.
Usiidharau nazi embe tunda la msimuVijana wa freebasics piteni tu kimya kimya najua hamjaona chochote.