Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Itakuwa kocha alibetiNashangaa kocha ameshindwaje kumtumia huyu dogo, cha ajabu anamweka beki ya kushoto mala akae nyuma ya mabeki
Yaani mechi sijaicheki ila nina maganzi knoma.Itakuwa kocha alibeti
AahaaaahYaani mechi sijaicheki ila nina maganzi knoma.
Bro kwenye timu yake huko ubelgiji novatus anacheza beki ya kushotoNashangaa kocha ameshindwaje kumtumia huyu dogo, cha ajabu anamweka beki ya kushoto mala akae nyuma ya mabeki.
Siku ukifikisha post 100 ntakuja kukujibu.Huyo novatus Dismas ni mtoto wa nani yako au ni shemej?