Hivi kuna mchezaji yoyote Afrika mashariki anaemzidi Novatus Dismas upande wa kiungo?

Hivi kuna mchezaji yoyote Afrika mashariki anaemzidi Novatus Dismas upande wa kiungo?

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Nashangaa kocha ameshindwaje kumtumia huyu dogo, cha ajabu anamweka beki ya kushoto mala akae nyuma ya mabeki.
 
Hapo hapo ujue Tanzania ni miongoni mwa timu za mwisho afrika mashariki. Wachezaji wazuri waliofanikiwa hata ulaya wapo Kenya. Na Uganda pia wanajitahidi
 
Hata huko katika timu yake ya Zulte waaregem huwa anacheza kama left winger huku nimeshangaa kumuona wanamchezesha kama beki
 
Back
Top Bottom