brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ya kuzaa ni neema ya Mungu si yeyeswali anaweza kuzaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzuri kwako wewe. Njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri balaa Tunda hawafikii kwa uzuri
Mtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??Mzuri kwako wewe. Njoo Palm View Pub ipo kigogo mwisho kuna wahudumu wazuri balaa Tunda hawafikii kwa uzuri
Umeona eeh, demu yupo vizuri sana yaan daahDah bongo unasemea Daslaam au Tanzania ? Mkuu umetembea kote Tanzania ukaona hamna wa kumzidi Tunda ? Ila kasupuu muda wote kapo ripe amekaa kuliwa liwa tu
Aya kiongozi nimekuelewaHili swali la kijinga mana hata huyo unaemwita mzuri hafanani na tunda tamu linaloliwa..siku nyingine usifananishe kitu kinaitwa "Uzuri" na vitu vya kijinga
Aisee [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kana rangi mbayaaa ...madoadoa kama kombati ya jeshi..hzo camera na filter zinakuzuzua kutananae live sasa
Wakawaida hata demu wako anaweza akawa mzuri kuliko yeye