Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Akiambiwa atafute jawabu la swali lifuatalo kwa kutumia kwadratiki fomula anaweza? (2X^2)+(5X)+2=0
Kama hawezi sio mzuri!
Mbavu zangu mimi hukuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakawaida Sana aiseee Mimi Nina mdogo wangu wa mtaani tunda anasubiri Sana.
 
Huyo Dogo akifikisha Umri wa flaviana matata mtuletee picha zake nachojua mtoa mada atabadilisha mada
 
Back
Top Bottom