Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Huyo binti ni mzuri kuna kipindi walileta habari hapa kwamba kunamsanii wa bongofleva anatumia maunga ndio mchumba wake
 
Dah bongo unasemea Daslaam au Tanzania ? Mkuu umetembea kote Tanzania ukaona hamna wa kumzidi Tunda ? Ila kasupuu muda wote kapo ripe amekaa kuliwa liwa tu
Umeona eeh, demu yupo vizuri sana yaan daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…