Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

She isjust a kid subiri akue kue afikishe 25 na kuendelea ndio hapo uulize n mzuri au vp!maana hata mabinti weng sana wakiwa wadogo huwa wazuri .
btw ni mzuri kwa sura ila shape (shape sio wembamba wala unene )no!bado ana shape ya utoto .
 
UKimuona ni wa kawaida sana. Kuna siku nilimuona Makumbusho nilivyooneshwa nilitaka kukataa
 
uzuri wake nini sasa mkuu?rangi au.........hana churaa.mbavu moja aaah msipende kufananisha Tanzania queen na hii mambo ya ajabu.
 
Kwangu mimi ambaye najipenda, napenda pia mwanamke mweusi kama mimi nilivyo mweusi. Wale weusi wanaopenda weupe ni tatizo, maana yake hawapendi ngozi yao.
Jambo la pili, uzuri wa mwanamke ni mapokeo ya mwanaume alomtazama. Katika uzuri wowote ule huwa unaanzia kwenye kitu kimoja tu! mengine yanafuatia.
 
Nauza projector kwa 800000tshs mpya haijatumika.
Ina weza kutumia flash. Memory card, hdmi,
Ina speaker apoapo
Pia inaweza kutumia earphones.
Inaweza kuunganishwa na simu kwa wifi kudispaly content za simu.
Inaweza kuunganishwa kwa redio na tv
Kwa taarifa zaidi na picha za projector anaye vutiwa ani txt Facebook.
Nipo dar Es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…