Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Picha za gest hujiulizi utakuta mkoba kitandani na tabia za wanawake hawa ni kupangiwa gest.sasa uzuri hapo ni nn kukaa uchi????? Alivyonavyo mke wangu anavyo tena vimesitiliwa.mapaja ya kupigwa upepo hayana tofauti na goti
 
Wewe utakuwa sio mzururaji...tembea usiku kwenye ma club utajionea wanawake wazuri then ukirudi utakuja kufuta hii thread yako...wazuri utadhani chooni hapawahusu.
 
Wewe utakuwa sio mzururaji...tembea usiku kwenye ma club utajionea wanawake wazuri then ukirudi utakuja kufuta hii thread yako...wazuri utadhani chooni hapawahusu.
Mkuu uko sahihi kabisa kuna mwingine nilimuona Jana jioni viwanja flani hadi kumusogerea niliogopa nikaishia kumpiga picha ya wizi bila wao kujua huyu mleta post hajazunguka viwanja!
 
Huyo demu: macho hayalingani, modomo upo oversize,Nyonyo ni kama ziliacha kukua kabla ya kumaliza STD VII, pause zake ni kama anasali,.....yani kasheshe tupu! wacha niseme ni mzuri walau kwa 30% Human Rights Watch wasije kunifungulia mashtaka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Picha za gest hujiulizi utakuta mkoba kitandani na tabia za wanawake hawa ni kupangiwa gest.sasa uzuri hapo ni nn kukaa uchi????? Alivyonavyo mke wangu anavyo tena vimesitiliwa.mapaja ya kupigwa upepo hayana tofauti na goti
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…