Hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu kabisa anayedhani kuwa Taifa Stars hii ya Amunike itaifunga Uganda na Kutinga AFCON Finals?

Hivi kuna Mtanzania mwenye akili timamu kabisa anayedhani kuwa Taifa Stars hii ya Amunike itaifunga Uganda na Kutinga AFCON Finals?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Bado nina Jezi za Kutosha tu za Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) hivyo ambaye anataka anitafute haraka kwa PM ili nimletee hapo hapo alipo tena bure kabisa ili Jumapili wote tuzivae na tuishangilie Timu ya Taifa bora ya Uganda ( Uganda Cranes ) ikiifunga Taifa Stars ya Kocha ' mbovu ' na ' mbaguzi ' Emanuel Amunike kwa Mkapa ( zamani kwa Mchina ) au Uwanja wa Taifa.

Yaani akina Farouk Miya na Emanuel Okwi watuache? Thubutu!

Nawasilisha.
 
We jamaa ni mshamba sana (sina uhakika kama ni jamaa utakuwa dada) ila ni mshamba sana.

Umemaliza au bado una mengineyo yapo Moyoni mwako na una ' Dukuduku ' nayo? Neno hilo la Mshamba wala halijanitosha hivyo nakuomba niongezee lingine tafadhali na ikiwezekana nakuomba unitukane kabisa Tusi lile ambalo Kwako Wewe unaona ni Kubwa na linanistahili.
 
Dah mzee baba huu uzi wako ni flop' sijajua labda pengine ungetujuza ingesaidia kidogo huyu Amunike ni mbaguzi ki vipi,hujaweka wazi unawafanya watu wakushangae na kuhoji degree ya uzalendo wako? Je braza unatoka Uganda au?.Kwani unadhani hapo unamkomoa nani Amunike au Tanzania, ifikie hatua braza uwe unapima vyema athari ya maneno yako katika jamii,unatufunza tusiwe na Uzalendo kabisa kwa nchi yetu,na nina mashaka kama mpira unaufuatilia haswa, katika dunia ya mpira hakuna kinachoshindikana braza odds zipo ili zipinduliwe, kwani kuna alietegemea Leicester City kutwaa ubingwa pale Uingereza, sidhani na kama wapo labda ni asilimia 0.000015 almost negligible ki mahesabu, sasa kwa ubora gani wa kushangaza kwa Stars kushindwa kumfunga Ug pale kwa mkapa, kama Simba ameweza kuifunga As Vita na alikuwa na nafasi finyu ya ushindi vipi iwe stars? Braza kwa nilivyokusoma ni mtu maarufu humu jamvini,sasa nashangaa kwa vp tena una seek attention kwa kupiga porojo za pumba badala ya kujenga unafikiria kubomoa?

Some people talk shit you'd better talk to a dog.
Since 1998.
 
UGANDA TUNAWAFUNGWA KWA FITNA.. KAMATI IMESHAONGEA NA WAGANDA WATUACHIE

Hilo likifanyika tu basi GENTAMYCINE nitaenda ' Kushtaki ' CAF na ikiwezekana hadi FIFA ili Tanzania tupewe Adhabu Kali Mkuu.
 
Umemaliza au bado una mengineyo yapo Moyoni mwako na una ' Dukuduku ' nayo? Neno hilo la Mshamba wala halijanitosha hivyo nakuomba niongezee lingine tafadhali na ikiwezekana nakuomba unitukane kabisa Tusi lile ambalo Kwako Wewe unaona ni Kubwa na linanistahili.
Ni mara chache sana huwa namjibu mpumbavu humu jamvini,una bahati kujibiwa mara mbili na mtu mwenye akili nyingi kama mimi. Kachinje jogoo kumshukuru Mungu.
 
Katika mafara duniani wewe jamaa unaongoza, naona akili zako zimehifadhiwa kwenye visigino. hiyo tabia yenu ya kushangilia wageni iishie hukohuko jangwani (japo huchelewi kujiita we ni mwanasimba ili kutafuta releaf) nyambafuuuuu!!!!!!
 
UGANDA TUNAWAFUNGWA KWA FITNA.. KAMATI IMESHAONGEA NA WAGANDA WATUACHIE
Huu ndio ukweli ingawa watu wengi wanajidai hawajui, mechi itakuwa kati ya Lesotho na carpeverde lakini huku bongo tunakamilisha ratiba tu
 
😂😂😂😂😂😂😂

Back
Top Bottom