Dah mzee baba huu uzi wako ni flop' sijajua labda pengine ungetujuza ingesaidia kidogo huyu Amunike ni mbaguzi ki vipi,hujaweka wazi unawafanya watu wakushangae na kuhoji degree ya uzalendo wako? Je braza unatoka Uganda au?.Kwani unadhani hapo unamkomoa nani Amunike au Tanzania, ifikie hatua braza uwe unapima vyema athari ya maneno yako katika jamii,unatufunza tusiwe na Uzalendo kabisa kwa nchi yetu,na nina mashaka kama mpira unaufuatilia haswa, katika dunia ya mpira hakuna kinachoshindikana braza odds zipo ili zipinduliwe, kwani kuna alietegemea Leicester City kutwaa ubingwa pale Uingereza, sidhani na kama wapo labda ni asilimia 0.000015 almost negligible ki mahesabu, sasa kwa ubora gani wa kushangaza kwa Stars kushindwa kumfunga Ug pale kwa mkapa, kama Simba ameweza kuifunga As Vita na alikuwa na nafasi finyu ya ushindi vipi iwe stars? Braza kwa nilivyokusoma ni mtu maarufu humu jamvini,sasa nashangaa kwa vp tena una seek attention kwa kupiga porojo za pumba badala ya kujenga unafikiria kubomoa?
Some people talk shit you'd better talk to a dog.
Since 1998.