Hivi kuna mtu hajawahi kutendwa kwenye mapenzi?

Hivi kuna mtu hajawahi kutendwa kwenye mapenzi?

Mwana kondoo

Senior Member
Joined
May 21, 2017
Posts
180
Reaction score
177
Salam wana JF,

Kama kuna mtu hajawai kutendwa katika mahusiano ya kimapenzi pamoja na ndoa, ajitokeze aeleze ni nini siri ya kutotendwa ili na sisi tunaotendwa tutumie njia hiyo, maana nshachoka sasa.

NAWASILISHA.
 
Kwanini unafikiria kutendwa na si kinyume chake?
Wewe ina maana hujawahi kumtenda mpenzi wako?
Wanasemaga "It takes two to tangle"
 
Kwanini unafikiria kutendwa na si kinyume chake?
Wewe ina maana hujawahi kumtenda mpenzi wako?
Wanasemaga "It takes two to tangle"
Nimetendwa sana mkuu hadi kuandika ivo, upande wangu sijawai kumtenda mwanamke wangu
 
Nipo,
Siri: Sijawahi kupenda kiasi cha kumuweka mwanamke moyoni.
 
Back
Top Bottom