Hivi kuna mtu hajawahi kutendwa kwenye mapenzi?

Hivi kuna mtu hajawahi kutendwa kwenye mapenzi?

Nishajiangalia sana kiundani sioni tatizo, labda sasa nipige exray
[emoji6][emoji6][emoji6] usisahau CT or MRI scan......
Pumzika kwa mda ukijichunguza au waulize wapenzi wako waliopita wapi ulikosea mpaka wakaamua kukutenda. ...
Ushauri wangu : Penda pole pole. ....
 
Hakuna aisee,labda Ndio anaeanza kupendwa au kupenda. Na watabwagana tu hao
 
Hii vita ya kimapenzi haijawai kumuacha mtu salama..
 
Aliyepo ni mtoto wa chini ya mwaka labda maana hata hawa wa baby class wana wivu kwa marafiki zao pale nmojawapo anaposaidia jinsia tofauti na yeye
 
Salam wana JF,

Kama kuna mtu hajawai kutendwa katika mahusiano ya kimapenzi pamoja na ndoa, ajitokeze aeleze ni nini siri ya kutotendwa ili na sisi tunaotendwa tutumie njia hiyo, maana nshachoka sasa.

NAWASILISHA.
kusoma huwezi hata picha huoni,,ukiona dalili unakusanya kilicho chako unatembea mapema,kujifanya penda penda ndo mana mnajiua
 
Siri ni kuwa huwa sikurupuki kuingia kwnye mahusiano na nikisha ingia nachofanya ni kuangapia mwenendo wa mpenzi wangu toka soki ya kwanza kuwa nae...

So kila badiliko linapotokea linakuwa noted, so mpaka nilishajiridhisha na kile nachokiamn..

Namwambia kwa lengo la kumtaka abadili if behaviour and extra,,,

Nikiona haelewi na kuwa nachomwbia bado anarudia yale yale hopeful huwa cna muda wa kulea uvundo

Najiwah mapemaaaaa

Najua sio chaguo langu
 
Salam wana JF,

Kama kuna mtu hajawai kutendwa katika mahusiano ya kimapenzi pamoja na ndoa, ajitokeze aeleze ni nini siri ya kutotendwa ili na sisi tunaotendwa tutumie njia hiyo, maana nshachoka sasa.

NAWASILISHA.
Mimi bado
 
Back
Top Bottom