Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja!
Hivi kweli tukiweka bangi pembeni
Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja? Tukubali tukatae wale watu hakuna timuvya kuwafunga hapa bongo na jana mpira walioucheza walicheza kwa kiwango cha chini sana!
Cha msingi tukomalie game zilizobaki tupate ushindi mfululizo
Kingine nilichogundua Kumbe pesa ya mwanamke hailiwi kirahisi na pia Mama yuko vizur kwenye kubeti aisee