asante kwa jibu zuri tumeumia hapa bongo lakini kule St James Park tulifurahi.Simba ni kubwaaa
Hizi nyuzi zitaandikwa kwa mwezi mzima
Mi nawapongeza Tu kwa ubingwa sio Kwa kushangilia kule mpaka wanamuinua kocha juu juu utopolo hizi furaha zao Simba tulifanya kuitafuta makundi champion League baada ya muda mrefu wakati nkana anakufa alafu ikaja zidi ya as vital bonge la mech kuitafuta robo saizi ni kawaida Tu kwa Simba labda tuguse nusuWaache watoe ngenga maana ya kwao yaliwabana