Elections 2015 Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atakayempigia kura yake Magufuli na kumuacha Lowassa?


Lowasa hafai hafai hafai ni mchafu sanaaaaaaaaàa! Kwani Richmond report ya CAG ilisemaje tena mbaya zaidi ikaudwa tume ya mwakembe bado Yale Yale au ujui unalolinena VIP!!!!! Msitake Kusafisha huyu mtu kama ni embe basi limeoza, hivi unawezaje amua kuoa Malaya eti kwa sababu amejichanganya na wanawake wanaojieshimu na kuacha kuoa mwanamke ambae si malaya eti kisa kajichanganya na kindi la Malaya, magufuri na lowasa ningewafananisha na mwanamke basi wote ningesema Malaya ila lowasa angekuwa Malaya aliye kubuhu anaetakiwa kupewa jina la kipekee!!!!!! Lowasa hafaiiiiiii hata citaji kuumiza kichwa kumpiga chini tar 25 asubuhi hata misa ya kwanza kuisha
 

Tatizo lako ni uvivu wa kusoma. Unaangalia kichwa cha habari halafu unaanza kujibu bila kusoma maudhui ya post iliyowekwa ikielezea mantiki ya kichwa cha habari husika.

Na watu kama nyie bahati mbaya mko wengi sana hapa Tanzania na ndio mtaji mkubwa wa wezi kama kina Magufuli kupata support ya kuendelea kutawala na hivyo kuendelea kuliibia taifa hili.
 
Unauliza kushtakiwa kwa Lowassa? Teh teh teh Butiku ameshawajibu hilo swali, acheni kushabikia ujinga hiv kumbe huwa mnabwabwaja tu humu JF bila kufatilia haya mambo kwa kina.

Jibu lipi? Butiku ni nani? Yeye ndio mahakama? Yeye ndie mwenye ushahidi wa kuupeleka mahakamani? Yeye ndie aliyeibiwa? Hili ni jukumu la Serikali na Serikali imekaa kimya bila kuchukua hatua yoyote ile ya kisheria dhidi ya Lowassa. Hivyo ni wazi kwamba wezi hapa ni Serikali na si Lowassa kwani kama angekuwa Lowassa wangeshamburuta mahakamani kitambo tu. Lakini kwa sababu wezi ni Kikwete na Serikali yake basi wamekaa kimya bila kuchukua hatua yoyote kurudisha mabilioni yaliyopotea. Na badala yake wanatuletea mwizi mwenzao Magufuli aliyekubuhu na kuthibitishwa (sio kutuhumiwa) na chombo chenye mamlaka ya kiutaalam na kiufundi wa kutoa uthibitisho wa wizi wa mali ya umma (CAG) eti tumpigie kura ili waendeleze wizi wao na kuupanua zaidi kwani Magufuli itabidi atakapokuwa anaiba azidishe kiwango ili waliomuweka pale nao wapate mgao wao.
 
Ujinga neno la kichwa!! Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Ccm wanahangaika hawana cha kuwaambia wananchi muda mwingi wanatumia kulalamika wakisimama majukwani utasikia lowassa fisadi haya swali linakuja kama kweli lowassa ni fisadi na nyinyi ndio viongozi. Je mmechukulia hatua gani na wanavyo zidi kumzungumza lowassa ndio wanazidi kumuongezea umaarufu na ukawa ndio inazidi kupaa ukawa raha sana.
 

Ndio maana nikasema atakayempigia kura Magufuli basi atakuwa hana akili timamu. Magufuli ameanikwa na ripoti ya CAG kuwa alitunga mradi hewa na kuupa namba ya mradi hewa wakati huo huo ili achote mabilioni ya fedha za walipa kodi na akafanya hivyo. Sasa kama unataka ushahidi wa CAG basi kwa Magufuli uko wazi kabisa na kwa hiyo hafai kupigiwa kura na hakufaa hata kuletwa kwetu na CCM kama mtu wa kumpigia kura kwani alitakiwa awe anaozea jela sasa hivi kwa kuiba mali ya umma lakini badala yake Serikali hiyo hiyo inamkumbatia na kumpigia debe awe Rais wa Watanzania!!!!!!!!

Suala la Lowassa tumeshalizungumzia kwa kina. Yeye anatuhumiwa tu bila ushahidi wowote ule na yeye ameshakana kwamba hausiki na kwamba mhusika ni aliyekuwa mkubwa wake wa kazi ambaye ni Kikwete. Magufuli hajakana na kumtupia mpira mkubwa wake wa kazi kwamba ndiye aliyetunga mradi hewa na kuupa namba ya mradi hewa ili achote yale mabilioni ya pesa ya ujenzi wa barabara.

Sasa sijui huelewi kitu gani hapa? Ndio maana nikasema watakaompigia kura Magufuli basi hawatakuwa na akili timamu.
 
Hata mm sizani kama yupo aisee mahana Ccm inataka kuhuza hii nchi na watu wake@ tubadilike Ccm kitu gani
 

Fisadi Lowassa ufisadi wake unajulikana hata na mtoto mchanga aliyezaliwa leo sembuse sisi watu wazima! Lowassa huyu mtu ni hatari sanaa!
 
Chama Cha Mafisadi sidhani kama kinaweza kuwa na uhusiano chanya kwa wananchi pamoja na wanachama wake ndomana hata mwenyewe washagombans vyakutosha coz kwenye ufisadi hata mkishriki watano tu hakuna usawa sasa ccm yote imegawanyika na ''Nadhani huu ni mpango wa Mungu kutuletea Tanzania tuliyokuwa tukiiota usiku na mchana naapa siiipendi na sitoipenda milele ccm
Mwaka wa Mabadiliko mtanzania kahakikishe jina lako wasije wakachakachua na kumbuka kwenda na peni yako kupiga kura peni zao zinajifuta zenyewe baada ya dk kadhaa kuwa makini mtanzania tumewachoka Mafisadi.
 
Kweli watanzania wsnye akil kama zako mtakufa kwa kipenda kashawaonga mpaka mmekubali subir muuzwee
 
Suala la.kumpigia kura mtu,na kuulizwa swali lako la kitoto kuwa mtu mwenye akili,timamu,nadhan umeunda vibaya swali lako ukidhan kila mtu anaazima,mawazo kwa jorani,hapana wengine mawazo yetu binafsi,mie nitampigia kura magufuli na kumnyima lowassa,sababu si kwamba sina akili timamu,bali namtambua kuwa lowassa ni fisadi,sasa kipimo cha iq kinatoka qap hapo,mnanunuliwa hadi mandhani kila mmoja kanunuliwa jamani,
 
Umeelewa swali langu?

NAKURAHISISHIA:Ile orodha ya Mwembeyanga ilikuwa ya mafisadi au siyo mafisadi?

Halafu naona umekomaa na Richmond pekee,kwa taarifa yako Lowassa mlimtaja fisadi kabla ya Richmond.

Huyo Slaa aliyemtaja Lowassa mbona anazunguka na ushahidi wake kwenye vyombo vya habari? Kwa nini asiupeleka mahakamani? Na hao kina Mwakyembe na Sitta eti wanataka mdahalo na Lowassa kwenye vyombo vya habari!!! Kwa nini wasipeleke ushahidi mahakamani?
 
Mmejitahidi sana kumuuza babu yenu lakini ndo hivyo tena, kila anayemwona live Lowassa anatamani kulia ..this is tragic.
 
Sasa hivi unahangaika na ajira kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…