Hivi kuna mtu mwenye picha yoyote ya Wahenga?

wahenga walisema lisemwalo lipo
 
Mkuu Wahenga ni Watu waliokuwa na maneno ya busara yaliyojaa uhai ndani yake yanayoishi na kuendelea kuishi. Hao ni watu mbalimbali na pia sisi tunaweza kuwa wahenga baada ya vizazi kama viwili vijavyo.

Ila wewe kwa ufahamu wako mdogo huna sifa hiyo. Wewe ni MNUKUU wa sisi wenye Hekima na Busara.
 
Mi nnayo ila imenipotea [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Wahenga walisema " Asijejua maana haambiwi maana"
 
Anayetaka usawa mwisho wake uchawi
Manaake hadi wazungu , wahindi ,wachina nk wanao WAHENGA=WISE MEN ( NOT WISE WOMEN??) [HASHTAG]#babalao[/HASHTAG] 2??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…