Hivi kuna mtu mwenye picha yoyote ya Wahenga?

Mi hua nawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!

Mimi mwenyewe siwajui ila nimeulizia hapa kitaa wakanijibu hivi :-

Wahenga, ndiyo husababisha paka kulia usiku na kisha hutokea la kutokea Kwa jirani "
 
Wahenga walikua wanzingua walisema harakaharaka haina baraka
Mara oooh liwezeknalo Leo lisingoje kesho
Mara ooh mvumilivu hula mbivu Mara ukichelewa utakuta maana s wako m naona walikua hawapo serious hawa wahenga koz hawana msimamo.
 
Haaa haaa Haaa haaa Haaa haaa Haaa teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh,,
Aiseee, nimecheka Sana. Nimekupatia like ...
 
Kwamba WAHENGA sio maBorn Town!?
Mbona picha zao zinaanzia ukubwani??
Vipi ktk nchi za ulaya waliendaga!?
WAHENGA au ndo hawa Waswahili!?
 
Akili nyingi huondoa maarifa...jamaa nuksi sana walikuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…